Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran na Afrika

  • Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran yamebadilisha utaratibu wa dunia: Mhadhiri mwandamizi wa Ghana

    Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran yamebadilisha utaratibu wa dunia: Mhadhiri mwandamizi wa Ghana

    Feb 01, 2025 12:56

    Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Ghana Dk Munir Mustapha amesema Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yamebadilisha mfumo wa dunia na ameyataja kuwa ndiyo yenye nguvu kubwa na ambayo yamekuwa na taathira kubwa imeyozidisha ushawishi wa Iran katika eneo la Magharibi mwa Asia kwa ujumbe wake wa demokrasia ya kidini.

  • Iran yasikitishwa na shambulio la droni lililoua 70 hospitalini Darfur, Sudan

    Iran yasikitishwa na shambulio la droni lililoua 70 hospitalini Darfur, Sudan

    Jan 27, 2025 12:26

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmail Baghaei amelaani shambulio la ndege isiyo na rubani dhidi ya hospitali moja katika mji wa El Fasher katika mkoa wa magharibi wa Darfur nchini Sudan, na kusababisha vifo vya makumi ya watu.

  • Ghalibaf: Changamoto ya uhusiano wa kiuchumi wa Iran na Afrika ni usafiri

    Ghalibaf: Changamoto ya uhusiano wa kiuchumi wa Iran na Afrika ni usafiri

    Jan 17, 2025 07:21

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ameyataja matatizo ya usafiri kuwa ni miongoni mwa changamoto kubwa katika kupanua uhusiano wa kiuchumi wa Iran na bara la Afrika akisema: Uwezo wa kimataifa kama wa kundi la BRICS na Shanghai ni fursa muhimu za kustawisha ushirikiano wa kiuchumi.

  • Spika wa Bunge la Iran awasili Ethiopia kwa ziara rasmi

    Spika wa Bunge la Iran awasili Ethiopia kwa ziara rasmi

    Jan 17, 2025 03:20

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amewasili Addis Ababa, mji mkuu wa Ethiopia akiongoza ujumbe wa ngazi za juu Bunge kwa mwaliko wa Spika wa Baraza la Wawakilishi la Ethiopia.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aelekea Misri kushiriki kikao cha D-8

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aelekea Misri kushiriki kikao cha D-8

    Dec 18, 2024 03:05

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameelekea mjini Cairo Misri kwa ajili ya kushiriki kwenye kikao cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa kundi la D-8 la nchi za Kiislamu zinazostawi.

  • Rais na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran kushiriki mkutano nchini Misri

    Rais na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran kushiriki mkutano nchini Misri

    Dec 17, 2024 11:19

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametangaza kuwa, Rais na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran watashiriki katika mkutano wa D-8 nchini Misri.

  • Ivory Coast yasisitiza kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na Iran

    Ivory Coast yasisitiza kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na Iran

    Dec 01, 2024 04:12

    Balozi wa Ivory Coast nchini Iran amesisitiza azma ya nchi yake ya kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na Iran.

  • Iran yaanza kuzipelekea vifaa vya tiba, nchi nane za Afrika + Picha

    Iran yaanza kuzipelekea vifaa vya tiba, nchi nane za Afrika + Picha

    Nov 07, 2024 12:18

    Shirika la vifaa vya matibabu la Hilal Nyekundu la Iran lenye makao yake mkoani Al Borz, Alkhamisi, Nivemba 11, 2024 limeanza kuzipelekea vifaa vya tiba nchi nane tofauti za bara la Afrika.

  • Uhusiano wa Iran na Tunisia wazidi kuimarika, Tunis yataka safari za moja kwa moja za ndege

    Uhusiano wa Iran na Tunisia wazidi kuimarika, Tunis yataka safari za moja kwa moja za ndege

    Nov 07, 2024 09:55

    Balozi wa Tunisia mjini Tehran ametaka kuweko safari za moja kwa moja za ndege baina ya Tehran na Tunis hasa kwa vile uhusiano wa nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran unazidi kuimarisha siku baada ya siku.

  • Pezeshkian: Iran imeazimia kuimarisha uhusiano na Algeria

    Pezeshkian: Iran imeazimia kuimarisha uhusiano na Algeria

    Nov 02, 2024 03:00

    Rais wa Iran Masoud Pezeshkian ameipongeza Algeria kwa kuadhimisha miaka 70 ya mapinduzi yake, akielezea utayarifu wa Iran wa kuimarisha uhusiano na nchi hiyo ya Kiarabu katika nyuga mbali mbali.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS