-
Kiongozi Muadhamu apongeza juhudi za maafisa wa Iran, asema Trump alitamani sana kufikia makubaliano
Jun 19, 2026 04:02Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei amesema maafisa wa Iran wamefanya juhudi kubwa kwa nia njema kufikia makubaliano ya maelewano na Marekani, huku rais wa Marekani akitumia njia mbalimbali za mashinikizo kutokana na kukata tamaa.
-
Rais Pezeshkian apongeza hati ya makualiano na Marekani; asema ni ushahidi wa 'Iran yenye nguvu'
Jun 19, 2026 03:59Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesifu hati ya makubaliano ya Islamabad iliyotiwa saini kati ya Iran na Marekani kuwa ni "hati ya kihistoria" na dhihirisho la nguvu ya Iran duniani.
-
Qalibaf: Tozo ya kupita Mango Bahari la Hormuz baada ya siku 60 imejumuishwa katika Hati ya Makubalino (MoU)
Jun 19, 2026 03:40Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge), Mohammad Baqer Qalibaf, ambaye anaongoza timu ya mazungumzo na Marekani, ameeleza kuwa malipo ya kuvuka katika Lango-Bahari la Hormuz yamejumuishwa kwenye Hati ya Makubaliano baina ya pande hizo mbili na kwamba kupita katika lango hilo katika kipindi hiki cha siku 60 cha mazungumzo kutakuwa bure.
-
Je, vita vya Iran vilisambaratisha vipi ngano ya nguvu isiyoshindwa ya Marekani?
Jun 18, 2026 08:22"Vita na Iran vimefichua ukweli mchungu kwa Marekani; Trump alifanya makosa makubwa na hatari kwa kuanzisha vita hivi na hatimaye kutoka kwenye vita akiwa dhaifu kijeshi, kidiplomasia na kiuchumi."
-
Rais Pezeshkian: Taifa la Iran limejifunza kutokubali kudhalilishwa kutoka kwa Kiongozi aliyeuawa shahidi
Jun 18, 2026 06:01Rais Masoud Pezeshkian amesema taifa la Iran limejifunza kutokubali kudhalilishwa kutoka kwa Kiongozi aliyeuawa shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei.
-
Shirika la Anga za Juu la Iran kuzindua satalaiti ya Pars-2
Jun 18, 2026 05:58Shirika la Masuala ya Anga za Juu la Iran linasonga mbele kwa kasi mpya, huku Waziri wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano akitangaza mipango ya uzinduzi ujao wa satalaiti ya "Pars 2" na kupelekwa angani Shahid Soleimani Satellite Constellation ifikapo mwisho wa mwaka huu.
-
Marais wa Iran na Marekani watia saini kidijitali Makubaliano ya kumaliza vita
Jun 18, 2026 04:27Hati ya makubaliano (MoU) kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Marekani sasa imetiwa saini rasmi na marais wa nchi hizo mbili baada ya maandishi yake kukamilishwa, na hivyo makubaliano hayo kuanza kutekelezwa. Hayo yametangazwa na msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran Jumatano usiku.
-
Kwa nini umoja wa nyanja ni muhimu kwa Iran na kusambaratika kwake ni muhimu kwa Israel?
Jun 17, 2026 12:18Wakati Iran na Marekani zilipokuwa zinakaribia kufikia mapatano ya awali kuhusu kusimamisha vita, utawala wa Kizayuni kwa mara nyingine tena siku ya Jumapili (Juni 14, 2026) ulishambulia viunga vya mji wa Beirut, na hivyo kuendelea kukiuka usitishavi vita.
-
Jeshi la Iran laionya Israel kuhusu ukiukaji usitishaji vita Lebanon
Jun 17, 2026 12:10Kamandi Kuu ya Majeshi ya Iran, Khatam al-Anbiya imeuonya utawala wa Israel na kuutaka usitishe mara moja ukiukaji wa mara kwa mara wa makubaliiano ya usitishaji vita kusini mwa Lebanon, au ukabiliwe na “jibu kali” la majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Iran yatengeneza dawa ya kutibu saratani kwa kutumia teknolojia ya nyuklia
Jun 17, 2026 12:08Iran inatarajiwa hivi karibuni kuzindua AlphaZa, dawa ya kwanza ya tiba ya nyuklia ya kutibu saratani iliyotengenezwa nchini inayotumia chembe za alfa (alpha‑emitting radiopharmaceutical), kwa ajili ya kutibu saratani zilizo katika hatua ya juu ambazo hazijaitikia tiba za kawaida.