-
Kiongozi Muadhamu atembelea maonesho ya uwezo wa uzalishaji nchini Iran
Jan 28, 2023 08:20Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu leo ametembelea maonyesho ya uwezo wa ndani ya Iran katika nyuga tofauti, ambapo ametumia masaa matatu katika maonyesho hayo.
-
Amir-Abdollahian: Shambulio katika ubalozi wa Jamhuri ya Azerbaijan halikuwa la kigaidi
Jan 27, 2023 23:41Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amekanusha vikali kwamba shambulio dhidi ya ubalozi wa Jamhuri ya Azerbaijan lilikuwa la kigaidi na akasema: "hatua hii imechochewa na sababu za kibinafsi tu".
-
Jibu la Iran kwa vikwazo vya Umoja wa Ulaya
Jan 27, 2023 23:02Katika kukabiliana na vikwazo vya hivi karibuni vya Umoja wa Ulaya, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imechapisha orodha mpya ya shakhsia na taasisi za Ulaya ambazo zimewekewa vikwazo na serikali ya Tehran.
-
Wananchi waandamana kote Iran kulaani kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu na kuwekewa vikwazo IRGC
Jan 27, 2023 09:03Baada ya kuswali Sala ya Ijumaa, wananchi kote katikaa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wamejitokeza mitaani na kulaani hatua za hivi karibuni za nchi za Magharibi na Ulaya zikiongozwa na Marekani za kudhalilisha matukufu ya Kiislamu na kuliwekea vikwazo Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Ulimwengu wa Magharibi una wasiwasi kuhusu mvuto wa Uislamu
Jan 27, 2023 09:00Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya Tehran amesema: "Ulimwengu wa makafiri unauogopa Uislamu, na ulimwengu wa Magharibi una wasiwasi kuhusu mvuto wa Uislamu."
-
Aliyeshambulia ubalozi wa Jamhuri ya Azerbaijan mjini Tehran akamatwa
Jan 27, 2023 08:57Polisi mjini Tehran wanasema wamemkamata mtu mmoja aliyempiga risasi mlinzi kuwajeruhi wengine wawili baada ya kuingia katika ubalozi wa Jamhuri ya Azerbaijan katika mji mkuu wa Iran siku ya Ijumaa asubuhi.
-
Iran na Tanzania zahimiza ushirikiano zaidi baina yao hasa katika uwekezaji viwandani
Jan 27, 2023 03:10Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: Tuko tayari kutoa ujuzi na uzoefu wetu, hasa katika nyanja za elimu, kilimo, uvuvi, ujenzi wa mabwawa, usimamizi wa vyanzo vya maji na kilimo umwagiliaji, ili kuisaidia Tanzania katika juhudi zake za mapinduzi ya viwanda.
-
Ali Bahreini: Utawala wa Kizani ni tishio kubwa la usalama wa dunia nzima
Jan 27, 2023 03:10Ali Bahreini, balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Ofisi za Umoja wa Mataifa za mjini Geneva Uswisi amesema kuwa, miradi ya silaha za atomiki ya utawala wa Kizayuni wa Israel ni tishio kubwa kwa usalama na amani ya dunia nzima.
-
Raisi: Kuivunjia heshima Qurani ni tusi kwa dini za mbinguni, utu
Jan 26, 2023 23:18Rais wa Iran amesema vitendo vya karibuni vya kuvunjia heshima Qurani Tukufu katika nchi kadhaa za Ulaya ni tusi kwa dini zote za mbinguni zenye asili ya Nabii Ibrahim (AS), na kwa jamii yote ya wanadamu.
-
Gharibabadi: Magharibi inatumia suala la wanawake kuzishinikiza nchi huru
Jan 26, 2023 23:17Afisa wa ngazi ya juu wa haki za binadamu nchini Iran amesema nchi za Magharibi zinatumia suala la wanawake kuziweka chini ya mashinikizo nchi huru duniani.