-
Jeshi la Iran latungua ndege nyingine ya kivita aina ya F15 ya adui mvamizi, Sepah inaendelea kutoa dozi
Mar 22, 2026 07:14Jeshi la Iran limetangaza kuwa limetungua ndege ya kivita aina ya F15 ya maadui wavamizi, Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel, kusini mwa nchi.
-
Kamanda Mousavi: Iran sasa inadhibiti kikamilifu anga ya Israel
Mar 22, 2026 06:14Kamanda wa Kikosi cha Anga cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ametangaza kuwa makombora ya Iran sasa yanadhibiti kikamilifu anga ya utawala ghasibu wa Israel.
-
Jeshi la Iran limelenga Uwanja wa Ndege wa Ben‑Gurion kwa droni
Mar 22, 2026 05:04Msemaji wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa jeshi hilo limetekeleza shambulio kwa mafanikio dhidi ya Uwanja wa Ndege wa Ben‑Gurion katika mji wa Lod umbali wa kilomita 15 kusini mashariki mwa Tel Aviv, kwa kutumia droni ya kisasa ya Arash‑2.
-
Iran yatoa onyo kuhusu hujuma dhidi miundombinu ya nishati na mafuta
Mar 22, 2026 05:03Msemaji wa Kamandi ya Jeshi la Iran ya Khatam al-Anbiyaa (SAW) ametoa onyo kali kuhusu uwezekano wa kushambuliwa kijeshi miundombinu ya nishati na mafuta ya Iran.
-
Qalibaf: Anga ya Israel imekuwa "shamba la bibi", ni wakati wa kutekeleza mpango unaofuata
Mar 22, 2026 03:50Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema inaonekana kuwa umewadia wakati wa kutekeleza mpango unaofuata uliopangwa hapo awali kwa ajili ya mashambulizi zaidi dhidi ya Israel.
-
The Independent: Trump analazimika kuipa Iran inachokitaka ili kujinasua kwenye maangamizi
Mar 22, 2026 03:49Gazeti la Uingereza la Independent limeandika kuwa, Rais Donald Trump wa Marekani amenasa katika maangamizi kwa kuanzisha vita dhidi ya Iran na analazimika kuipatia Iran inachokitaka ili kukomesha vita hivyo.
-
Mauaji ya kigaidi ya Marekani na Israel dhidi ya viongozi wa Iran na mmomonyoko wa sheria za kimataifa
Mar 21, 2026 07:04Mauaji ya kigaidi dhidi ya Ali Larijani, Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran mnamo Machi 17, 2026, siku 18 tu baada ya mauaji mengine ya kigaidi dhidi ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatollah Seyyed Ali Khamenei, ni zaidi ya suala la kuongezeka tu mashambulizi ya kijeshi. Yanaangazia wazi upuuzaji wa sheria za kimataifa zilizobuniwa baada ya Vita vya Pili vya Dunia 1945.
-
Mokhber: Taifa lenye irada na azma ya atomiki halihitaji bomu la atomiki
Mar 21, 2026 06:40Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma ujumbe kwenye mitandao ya kijamii akisema: Taifa lenye irada na azma ya atomiki halihitaji bomu la atomiki.
-
Araqchi: Tunataka kukomeshwa vita kabisa, sio kusitishwa kwa muda
Mar 21, 2026 06:33Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran haikubali suala la kusitishwa mapigano, bali inataka kukomeshwa kabisa, kikamilifu na daima kwa vita hivyo.
-
Kiongozi Muadhamu: Mstari wa mbele wa Iran ni mpana zaidi kuliko fikra finyu za adui
Mar 21, 2026 06:23Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu aliwaambia wananchi wa Iran kwamba: Kwa kumpa adui pigo, mmemfahamisha kwamba hapambani tu na makombora, ndege zisizo na rubani, torpedo na zana za kijeshi pekee kwani mstari wa mbele wa Iran ni mpana sana kuliko taswira yake ndogo na iliyodhalilika.