-
Rezaei: Tutazishughulikia balozi za Ujerumani, Uingereza na Ufaransa kwa kufanya uhalifu Iran
Jan 18, 2026 03:34Msemaji wa Kamati ya Usalama wa Taifa na Sera za Kigeni ya Bunge la Iran amesema: Mabalozi wa nchi kama vile Ujerumani, Uingereza na Ufaransa ndio waliochochea ghasia na kusimamia vitendo vya kigaidi vya hivi karibuni nchini Iran na kwamba Tehran itazishughulikia balozi hizo.
-
Iran yavunja rekodi ya uzalishaji wa gesi asilia
Jan 18, 2026 03:33Shirika la Taifa la Gesi la Iran limetangaza kuwa, limeweka rekodi mpya ya uzalishaji wa kila siku wa gesi asilia, sambamba na kuongezeka mahitaji ya familia, mitambo ya umeme na matumizi ya viwandani ya nishati hiyo muhimu.
-
Imam Khamenei: Taifa la Iran limevunja mgongo wa fitina kwa umoja/ Lengo la Marekani ni kuimeza Iran
Jan 18, 2026 01:13Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, amesema Iran inamtambua Rais wa Marekani, Donald Trump, kama mhusika mkuu wa mauaji na uharibifu katika ghasia za hivi karibuni hapa nchini.
-
Kinara wa magaidi wa Marekani na Uzayuni amenaswa vipi katika mtego wa askari usalama wa Iran?
Jan 17, 2026 23:42Shirika la ujasusi la Iran limetangaza kuwa limemkamata mmoja wa maajenti wa ngazi ya juu aliyepewa mafunzo na mashirika ya ujasusi ya Marekani na Israel.
-
Onyo la Iran kwa Marekani; Usirudie tena vita vilivyofeli vya siku 12
Jan 17, 2026 23:07Tehran imemuonya Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu kukariri uzoefu uliofeli wakati wa vita vya siku 12 vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran.
-
Imam Khamenei: Taifa la Iran limevunja mgongo wa fitina kwa umoja/ Lengo la Marekani ni kuimeza Iran
Jan 17, 2026 10:15Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, amesema Iran inamtambua Rais wa Marekani, Donald Trump, kama mhusika mkuu wa mauaji na uharibifu katika ghasia za hivi karibuni hapa nchini.
-
Iran yalaani unafiki wa G7 kuhusu haki za binadamu kufuatia tamko lao la kuingilia mambo ya ndani
Jan 17, 2026 03:10Wizara ya Mambo ya Nje imelaani vikali tamko la hivi karibuni la kuingilia mambo ya ndani ya Iran lililotolewa na Kundi la Nchi Saba (G7), ikilishutumu kundi hilo la kiserikali linaloongozwa na Marekani kwa kuingilia masuala ya Iran na kwa mtazamo wa kinafiki kuhusu haki za binadamu.
-
Vikosi vya usalama Iran vyanasa silaha 60,000 zilizokuwa zikielekea Tehran
Jan 17, 2026 03:08Vikosi vya usalama vya Iran vinasema vimekamata silaha 60,000 zilizokuwa zikielekezwa Tehran, na kuvunja mtandao wa kigaidi uliopata mafunzo kutoka shirika la kijasusi la Israel, Mossad. Magaidi hao walihusika katika machafuko ya hivi karibuni ambapo waliua raia na maafisa wa usalama baada ya maandamano yaliyokuwa ya amani kugeuzwa na madola ya kigeni kuwa vurugu.
-
Pezeshkian: Kuhusika Marekani na Israel katika matukio ya Iran hakukanushiki
Jan 16, 2026 23:04Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuhusika moja kwa moja Marekani, utawala wa Kizayuni na baadhi ya nchi za Ulaya katika matukio ya hivi karibuni ya Iran hakukanushiki.
-
Marekani haiwezi kukwepa dhima ya jinai walizofanyiwa wananchi wa Iran
Jan 16, 2026 23:03“Gholamhossein Darzi,” Balozi na Naibu wa Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kwamba, maandamano ya amani ya wananchi u wa Iran yalitekwa nyara na magenge ya kigaidi yaliyoingizwa Iran na madola ya kigeni ili kuanzisha fujo na mauaji. Marekani haiwezi kukwepa dhima ya jinai na ukatili mkubwa waliofanyiwa wananchi wa Iran.