-
Meja Jenerali Salami: Umoja wa Jeshi la Ulinzi na SEPAH umewavunja moyo na kuwakasirisha maadui
Apr 17, 2022 22:50Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema kuwa, umoja na mshikamano uliopo kati ya Jeshi la Taifa na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) umewakatisha tamaa na kuwakasirisha maadui wa nchi hii ya Kiislamu.
-
Iran yalaani wito wa kuchomwa moto Qur'ani nchini Sweden
Apr 17, 2022 21:57Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Sweden amesema: "Kuchoma moto Qur'ani katika mwezi mtukufu wa Ramadhani ni mfano wa wazi wa sera za chuki na hujuma ya kibaguzi dhidi ya Uislamu."
-
Iran yalaani kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu nchini Sweden
Apr 17, 2022 09:13Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amelaani kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu huko Sweden.
-
Iran yawaasa Waislamu duniani waungane kuwatetea Wapalestina, Msikiti wa Aqsa
Apr 16, 2022 22:56Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kwa mara nyingine tena amelaani jinai ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuushambulia na kuuvunjia heshima Msikiti wa al-Aqsa na kusisitiza kuwa, mataifa ya Kiislamu yanapaswa kuungana na kusima bega kwa bega kuitetea kadhia ya Palestina.
-
Iran: Israel ni dhaifu, haiwezi kuhimili nguvu za muqawama wa Palestina
Apr 16, 2022 05:58Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kulaani kitendo cha wanajeshi wa Israel kuvamia viwanja vya Msikiti wa Al-Aqsa na kuvunjia heshima kibla cha kwanza cha Waislamu, amesisitiza kuwa utawala huo wa Kizayuni ni dhaifu, na wala hauna ubavu wa kustahamili nguvu za mrengo wa muqawama wa Palestina.
-
Iran yailaumu Uingereza kwa kuwalazimisha wakimbizi waende nchini Rwanda
Apr 16, 2022 02:49Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameilaumu serikali ya Uingereza kwa kuwalazimisha wakimbizi walioko nchini humo kwenda nchini Rwanda na amesisitiza kuwa, kufanya hivyo ni kukwepa London majukumu yake ya kimataifa.
-
Wizara Mambo ya Nje Iran yalaani hujuma ya Israel dhidi ya maeneo matakatifu Palestina
Apr 15, 2022 22:12Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amelaani mashambulizi ya kinyama ya Wazayuni katika maeneo matukufu ya Palestina katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani na hujuma iliyofanywa na Wazayuni maghasibu dhidi ya waumini waliokuwa wakitekeleza ibada katika Msikiti wa Al-Aqsa.
-
Iran yaipongeza Afrika Kusini kwa kuwaunga mkono wananchi wa Palestina
Apr 15, 2022 07:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameipongeza Afrika Kusini kwa misimamo yake ya kuwaunga mkono na kuwatetea wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Raisi: Iran haitaruhusu Israel kutishia usalama wa kieneo
Apr 14, 2022 23:32Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran inafuatilia kwa karibu harakati za utawala wa Israel katika eneo na haitaruhusu utawala huo utishie usalama wa eneo kupitia nchi yoyote.
-
Iran: Ushirikiano wa kieneo ndio utaimarisha usalama Ghuba ya Uajemi
Apr 14, 2022 23:31Waziri wa Ulinzi wa Iran amelaani uwepo haramu wa madola ajinabi katika eneo la kistratajia la Ghuba ya Uajemi na Lango Bahari la Hormuz na kusisitiza kuwa, ushirikiano wa nchi za Asia Magharibi ndiyo dawa mjarabu ya kudhamini usalama na uthabiti wa eneo hili.