-
Kamanda wa vikosi vya nchi kavu: Iran ni yenye yenye amani zaidi katika eneo
Apr 03, 2022 06:39Kamanda wa vikosi vya nchi kavu vya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Iran ni nchi yenye usalama mkubwa katika eneo na kwamba mchokozi yoyote mwenye lengo la kuivamia nchi hiyo atakabiliwa na jibu kali la vikosi vya ulinzi vya Iran. Brigedia Jenerali Kioumars Heydari
-
Raisi atuma salamu za Ramadhani kwa viongozi wa nchi za Kiislamu duniani
Apr 03, 2022 03:48Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia ujumbe wa salamu za Ramadhan viongozi wa nchi za Kiislamu duniani.
-
Iran yawanyooshea mkono wa kheri Waislamu duniani kwa kuwadia Ramadhani
Apr 02, 2022 22:52Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewapongeza na kuwatakia Waislamu wote duniani kheri na baraka kwa mnasaba wa kuwadia mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Iran: Afrika ni bara lenye fursa nyingi
Apr 02, 2022 22:24Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ina azma thabiti na imejitolea kwa dhati kuona bara la Afrika linafanikiwa na kustawi.
-
Jahromi: Marekani inasalia kuwa adui wa kudumu wa taifa la Iran
Apr 02, 2022 08:35Msemaji wa serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema vikwazo vipya vya Washington dhidi ya raia wa Iran vinaonyesha wazi kuwa, Marekani inasalia kuwa adui wa kudumu wa taifa hili.
-
Iran yakaribisha mpango wa Umoja wa Mataifa wa kusimamisha mapigano nchini Yemen
Apr 02, 2022 03:33Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekaribisha mpango wa Mwakilishi Maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Yemen wa kusimamisha operesheni za kijeshi nchini humo kwa muda wa miezi miwili na kuruhusu kuingia meli znazobeba chakula na mafuta, pamoja na kufunguliwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sana'a.
-
Iran: Uzalishaji wa mafuta ghafi umerejea katika kiwango cha kabla ya vikwazo
Apr 01, 2022 22:06Waziri wa Mafuta wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kiwango cha uzalishaji wa mafuta ghafi ya taifa hili kimeongezeka na kurejea katika kiwango cha kipindi cha kabla ya vikwazo, ilivyowekewa nchi hii na utawala wa Donald Trump baada ya kuiondoa Marekani kwenye mapatano ya nyuklia ya JCPOA mwaka 2018.
-
Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: 12 Farvardin ulianzishwa mfumo wa demokrasia ya kidini nchini Iran
Apr 01, 2022 06:53Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Tehran amesema: Tarehe kumi na mbili Farvardin 1358 Hijria (tarehe 1 Aprili 1979), mfumo wa demokrasia ya kidini na Jamhuri ya Kiislamu uliundwa kwa kura za watu wa Iran.
-
Aprili Mosi; Siku ya kuanza demokrasia ya kidini katika Iran ya Kiislamu
Apr 01, 2022 02:17Tarehe 12 Farvardin kwa mwaka wa Kiirani wa Hijria Shamsia ambayo inasadifiana na tarehe Mosi Aprili, ni siku ambayo wananchi wa Iran walishiriki kwa wingi katika kura ya maoni na kuchagua mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu utawale humu nchini.
-
Iran imeshawapelekea wananchi wa Afghanistan zaidi ya shehena 30 za misaada ya kibinadamu
Mar 31, 2022 23:00Mwakilishi wa Kudumu wa Iran kwenye Umoja wa Mataifa amesema kuwa, katika kipindi cha miezi michache iliyopita, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imewapelekea wananchi wa Afghanistan zaidi ya shehena 30 za misaada ya kibinadamu na kusisitiza kuwa, kuna udharura kwa jamii ya kimataifa kuisaidia kifedha Afghanisan ili ivuke katika kipindi hiki kigumu.