-
Rais wa Iran apokea vitambulisho vya balozi wa Palestina, asisitiza umoja wa Wapalestina
Feb 09, 2022 01:07Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepokea vitambulisho vya balozi mpya wa Palestina mjini Tehran na kusisitiza kuwa: "Umoja na mashikamano wa makundi na mirengo yote ya Palestina ni siri ya kupata ushindi katika mapambano dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel."
-
Imam Khomeini alihuisha Uislamu na kuwapa Waislamu utambulisho
Feb 09, 2022 01:02Waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Iran amesema hayati Imam Khomeini- Mwenyezi Mungu Amrehemu, muasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alihuisha Uislamu na kuwapa Waislamu utambulisho
-
Ayatullah Khamenei: Kuna udharura wa kufanyika jihadi ya kueleza uhakika wa mambo
Feb 08, 2022 10:21Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu leo amekutana na makamanda wa Jeshi la Anga na Kikosi cha Ulinzi wa Anga cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ambako amesisitiza kuwa: Kuna udharura wa kufanyika Jihadi ya haraka ya kueleza na kubainisha ukweli wa mambo.
-
Shamkhani: Mazungumzo ya Vienna hayatafanikiwa kama Washington haitaachana na njozi zake
Feb 08, 2022 09:11Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuwa mazungumzo ya Vienna hayatafanikiwa kama Washington haitaachana na njozi zake.
-
Raisi: Makubaliano yatafikiwa iwapo Iran itaondolewa vikwazo
Feb 08, 2022 04:36Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema iwapo Marekani italiondolea vikwazo haramu taifa la Iran, basi mazingira yatakuwa yameandaliwa kwa ajili ya kufikia makubaliano katika mazungumzo yanayonuia kufufua makubaliano ya JCPOA huko Vienna.
-
Iran: Uamuzi wa AU kuisimamishia Israel uanachama ni wa hekima, sahihi
Feb 08, 2022 04:27Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imepongeza uamuzi wa Umoja wa Afrika wa kusimamisha hadhi ya uanachama mtazamaji ya utawala wa Kizayuni Israel katika jumuiya hiyo ya kibara.
-
Jenerali Hajizadeh: Iran itazindua 'kombora la kistratejia' karibuni
Feb 08, 2022 01:02Kamanda wa Kikosi cha Anga na Anga za Mbali cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema karibuni hivi kikosi hicho cha SEPAH kitazindua kombora jipya la kistratejia katika uga wa mifumo ya ulinzi wa anga.
-
Mazungumzo ya Vienna; Iran inafuatilia mapatano ya aina gani
Feb 07, 2022 14:04Hossein Amir-Abdollahian Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amefanya mazungumzo ya simu na Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya Joseph Borell, ambapo ametoa tathmini kuhusu hali ya hivi sasa ya mazungumzo ya Vienna na kusema, "Tehran imedhamiria kufikia makubaliano, lakini maslahi ya kitaifa ya Iran lazima yadhaminiwe."
-
Iran: Madola ya Ulaya yanapaswa kuvuka mstari wa Marekani wa kutotekeleza ahadi
Feb 07, 2022 09:22Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, madola ya Ulaya yanapaswa kuvuka mstari wa Marekani wa kutotekeleza ahadi na kueleza kwamba, Tehran inasubiri kuona mabadiliko kivitendo katika mwenenendo wa Washington.
-
Sheikh Ibrahim Zakzaky: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni ya Waislamu wote ulimwenguni
Feb 07, 2022 09:21Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesema kuwa, Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran hayaishii tu katika mipaka ya Iran na wananchi wa taifa hili bali ni mali ya Waislamu wote ulimwenguni.