-
Luteni Jenerali shahidi “Qassem Soleimani” nembo ya matumaini, kujiamini, ushujaa na siri ya muqawama na ushindi
Jan 04, 2022 09:29Jumatatu ya jana tarehe 3 Januari 2022, ilisadifiana na kumbukumbu ya mwaka wa pili wa mauaji ya Jenerali Qasem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu yaliyofanywa na serikali ya Marekani.
-
Iran: Uzayuni hauna nafasi katika mustakabali wa dunia
Jan 04, 2022 04:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu itaendelea kulinda na kutetea haki, maslahi na ustawi wake kwa izza na mantiki; na kusisitiza kuwa utawala wa Kizayuni hauna nafasi katika mustakabali wa dunia.
-
Kiongozi Muadhamu ashiriki maombolezo ya kumbukumbu ya kufa shahidi Bibi Fatima (SA)
Jan 04, 2022 00:23Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amehudhuria kikao cha usiku wa kwanza cha maombolezo ya kukumbuka siku aliyokufa shahidi Bibi Fatimatu-Zahra (SA) binti kipenzi wa Bwana Mtume Muhammad SAW na mke wa Amirul Muuminin Ali bin Abi Talib (as), Imamu wa kwanza wa Waislamu wa madhehebu ya Shia.
-
Khatibzadeh: Hati ya ushirikiano kati ya Iran na Russia inaongezwa muda wake
Jan 03, 2022 23:17Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameeleza kuwa, baadhi ya nyaraka na hati za mapatano kati ya Iran na Russia zinafuatiliwa na kwamba hati ya juu ya kuweka sawa uhusiano wa kistratejia kati ya nchi mbili ingalipo na sasa inaongezwa muda wake.
-
Eje'i: Kuna ulazima wa kuwasaka waliomuuwa kigaidi Luteni Jenerali Soleimani
Jan 03, 2022 08:49Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran amesema kuwa Serikali, Idara ya Mahakama na Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran zinapasa kutumia vyombo vyote vya kisheria kwa ajili ya kuwafuatilia wahusika wa mauaji ya kigaidi ya Luteni Jenerali Qasem Soleimani.
-
Kuuliwa shahidi Qasem Soleiman na kasi ya kuporomoka nafasi ya Marekani eneo la Asia Magharibi
Jan 03, 2022 07:46Leo tarehe 3 Januari 2022, inasadifiana na kumbukumbu ya mwaka wa pili wa mauaji ya Jenerali Qasem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu yaliyofanywa na serikali ya Marekani.
-
Iran: Baraza la Usalama linapaswa kuzitangaza Marekani na Israel kuwa ndio wauaji wa Soleimani
Jan 03, 2022 04:14Mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa sambamba na kumbukumbu ya mwaka wa pili wa kuuawa kidhulma shahid Qasem Soleimani, amemwandikia barua rais wa hivi sasa wa Baraza la Usalama la umoja huo akitaka Marekani na Israel zitangazwe rasmi kuwa ndizo zilizomuua kigaidi shujaa huyo.
-
Shahidi Qassem Soleimani na kuimarisha na kuinua nafasi ya muqawama Asia Magharibi
Jan 02, 2022 23:02Moja ya maudhui muhimu kuhusiana na Luteni Jenerali Qassem Soleimani aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) ni mchango wake katika kuimarisha na kuinua nafasi ya muqawama na mapambano katika eneo la Asia Magharibi.
-
Rais Raisi: Trump mtendajinai lazima ashtakiwe na ahukumiwe kuuawa kwa kisasi
Jan 03, 2022 11:18Rais Ebrahim Raisi amesema, aliyekuwa rais wa Marekani Donald Trump ni muuaji na mhalifu mkuu wa mauaji ya kamanda Qassem Suleimani, kwa hivyo inapasa ashtakiwe na kuhukumiwa kuuawa kwa kisasi.
-
Baraza Kuu la Haki za Binadamu Iran: Mauaji ya kigaidi dhidi ya Kamanda Soleimani yalichinja haki za binadamu duniani
Jan 02, 2022 11:54Naibu Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Haki za Binadamu la Iran katika Masuala ya Kimataifa ameitaja hatua ya Marekani ya kumuua kigaidi Kamanda Qasem Soleimani kuwa ni sawa na mauaji ya haki za binadamu duniani.