-
Baraza Kuu la Haki za Binadamu Iran: Mauaji ya kigaidi dhidi ya Kamanda Soleimani yalichinja haki za binadamu duniani
Jan 02, 2022 11:54Naibu Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Haki za Binadamu la Iran katika Masuala ya Kimataifa ameitaja hatua ya Marekani ya kumuua kigaidi Kamanda Qasem Soleimani kuwa ni sawa na mauaji ya haki za binadamu duniani.
-
Shauku maradufu ya Azerbaijan ya kupanua ushirikiano na Iran
Jan 02, 2022 09:23Viongozi wa Iran na Jamhuri ya Azerbaijan wakiwa na lengo la kupanua uhusiano wa pande mbili na kustawisha ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara wamo mbioni kupiga hatua kubwa katika uwanja huo.
-
Iran yataka Baraza Kuu la UN lilaani mauaji ya Shahidi Soleimani
Jan 02, 2022 04:42Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inataka Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lipitishe azimio la kulaani kitendo cha Marekani cha kumuua kamanda wa Iran aliyeongoza vita dhidi ya ugaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani ili kwa njia hiyo kulinda amani na kimataifa na haki za binadamu.
-
Kamanda wa IRGC adungwa chanjo ya COVID-19 ya Noora ya Iran
Jan 02, 2022 04:38Chanjo nyingine ya COVID-19 iliyotegenezwa Iran ijulikanayo kama Noora imeingia awamu ya tatu ya majaribio kwa mwanaadamu kwa kudungwa Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).
-
Iran yalaani kimya cha jamii ya kimataifa kuhusu mauaji ya polisi Wairani
Jan 02, 2022 04:36Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Haki za Binadamu Iran amekosoa kimya na kutochukua hatua taasisi za kimataifa kuhusu mauaji ya maafisa wa polisi wa nchi hii wanaopoteza maisha katika mapambano dhidi ya magaidi, wafanya magendo wenye silaha na magenge.
-
Jihad al Islami: Kujitolea kikamilifu shahid Qasem Soleimani katika njia ya haki hakuwezi kusahaulika
Jan 02, 2022 00:56Kiongozi mmoja mwandamizi wa ofisi ya kisiasa ya harakati ya Jihad al Islami ya Palestina amesema kuwa, kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qasem Soleimani na Abu Mahdi al Muhandis kumefungua njia kwa vijana wa eneo hili ya kupambana vilivyo na wanaoendesha njama za kulazimisha kukubalika utawala pandikizi wa Kizayuni.
-
Jumuiya ya Kukurubisha Madhehebu: Waislamu waungane kupambana na mabeberu
Jan 02, 2022 00:56Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amesema kuwa, umoja na mshikamano baina ya Waislamu wa Kishia na Kisuni ndiyo stratijia kuu ya kuweza kufelisha njama za maadui wa Uislamu.
-
Jukumu la kimataifa la serikali ya Marekani kwa jinai ya mauaji ya Shahidi Soleimani
Jan 02, 2022 00:33Katika kipindi hiki cha kukaribia mwaka wa pili wa kuuawa shahidi Kamanda Qasem Soleimani na wasaidizi wake katika shambulio la kigaidi la Jeshi la Marekani, Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetangaza kuwa, serikali ya Marekani "inabeba dhima ya kimataifa" mkabala wa jinai hiyo.
-
Majaribio ya roketi ya kubeba satalaiti ya Simorgh; uongo na propaganda chafu za Wamagharibi
Jan 01, 2022 11:23Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya ambazo kwa kila mafanikio yanayopatikana nchini Iran zinajaribu kuibua anga ya propaganda chafu na kupindua ukweli, mara hii zimetumia tukio la kurushwa angani roketi ya kubeba satalaiti ya Simorgh kama kisingizio cha kudai kwamba miradi ya makombora ya Iran ni tishio kwa usalama.
-
Kiongozi Muadhamu: Jenerali Soleimani ndiye shakhsia mkubwa wa Iran, Umma
Jan 01, 2022 09:31Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH), ndiye shakhsia mkubwa zaidi si tu ndani ya Iran, bali katika Umma wote wa Kiislamu.