-
Kiongozi Muadhamu: Jenerali Soleimani ndiye shakhsia mkubwa wa Iran, Umma
Jan 01, 2022 09:31Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH), ndiye shakhsia mkubwa zaidi si tu ndani ya Iran, bali katika Umma wote wa Kiislamu.
-
Raisi: Nabii Isa AS, nembo ya muqawama dhidi ya madhalimu
Jan 01, 2022 09:17Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtaja Nabii Isa Masih (AS) kuwa ni nembo ya mapambano dhidi ya madhalimu.
-
Brigedia Jenerali Naserzadeh: Kamanda Soleimani ni fahari ya Ulimwengu wa Kiislamu
Jan 01, 2022 04:45Kaimu Kamanda Mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Iran amesema, historia haitosahau hatua za thamani kubwa za kamanda Qassem Soleimani; na akaongeza kwamba, shahidi Soleimani ni fahari kwa Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Kuondoka Marekani katika eneo, sehemu ndogo ya matokeo ya kuuawa shahidi Soleimani
Jan 01, 2022 00:03Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesema kufungasha virago na kuondoka vikosi vya jeshi la Marekani katika eneo la Asia Magharibi ni sehemu ndogo ya matokeo ya kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran atoa onyo kali kwa utawala wa Kizayuni wa Israel
Dec 31, 2021 09:24Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, kama utawala haramu wa Kizayuni wa Israel utathubutu kufanya kosa dogokabisa, vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vitatoa jibu kali dhidi yake ambalo litakuwa ni la kuumiza.
-
Raisi: Hezbullah na muqawama umeimarika zaidi Asia Magharibi
Dec 31, 2021 04:49Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa: Hizbullah na harakati ya muqawama zina nguvu kubwa zaidi katika eneo hili la Asia Magharibi.
-
Marekani: Tuna wasiwasi kuhusu mafanikio ya roketi ya kubeba satalaiti la Iran
Dec 31, 2021 01:22Marekani imetangaza kuwa ina wasiwasi kuhusu mafanikio ya roketi ya kubeba satalaiti katika anga za mbali ya Simorgh nchini Iran.
-
Baqeri Kani: Zimepigwa hatua nzuri katika suala la uondoaji vikwazo
Dec 30, 2021 08:56Kiongozi wa ujumbe wa Iran katika mazungumzo ya nyuklia ya JCPOA amesema, kutokana na mazungumzo ya karibuni mjini Vienna, zimepigwa hatua nzuri katika suala la uondoaji vikwazo.
-
Iran yarusha kwa mafanikio roketi la Simorgh la kubeba satalaiti anga za mbali
Dec 30, 2021 08:53Leo Alkhamisi, Disemba 30, 2021, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imerusha kwa mafanikio roketi la Simorgh la kubeba satalaiti anga za mbali.
-
Kongamano la kumuenzi Qassem Soleimani na Abu Mahdi al-Mohandes lafanyika Tunisia
Dec 30, 2021 04:47Kundi la vyama vya siasa na asasi za kiraia nchini Tunisia zimefanya kongamano kwa mnasaba wa mwaka wa pili wa kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) na Abu Mahdi al-Muhandis, Naibu Mkuu wa Kikosi cha Kujitolea cha Wananchi wa Iraq cha Hashd al Sha'abi.