-
Rais mteule wa Iran aahidi kufanya juhudi zake zote kutatua matatizo ya wananchi
Jun 19, 2021 21:52Rais mteule wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran aliyeshinda katika uchaguzi wa 13 wa rais uliofanyika juzi Ijumaa humu nchini amesema kuwa, serikali atakayounda itafanya juhudi zake zote kutatua matatizo yaliyopo nchini hasa ya kiuchumi.
-
Kiongozi Muadhamu: Taifa la Iran ndiye mshindi mkuu wa uchaguzi, mliochaguliwa chapeni kazi
Jun 19, 2021 09:46Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amepongeza hatua ya kujitokeza kwa wingi wananchi wa Iran katika uchaguzi mkuu wa jana Ijumaa na kusisitiza kuwa, 'washindi wakuu wa uchaguzi ni wananchi wenyewe, ambao azma yao thabiti haikuvunjwa moyo na ama janga (la Corona) au njama za kuwakatisha tamaa.
-
Matokeo rasmi ya uchaguzi wa rais wa Iran yatangazwa
Jun 19, 2021 09:43Baada ya kumalizika zoezi la kuhesabu kura za uchaguzi wa 13 wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Iran imetangaza matokeo rasmi ya uchaguzi huo ulioshirikisha mamilioni ya wapiga kura.
-
Uchaguzi wa Rais wa 13 wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Jun 19, 2021 08:56Uchaguzi wa Rais wa 13 wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ulifanyika jana nchini kote Iran kwa kushirikisha idadi kubwa ya wananchi waliotumia haki yao ya kidemokrasia na kumchagua rais wao ajaye.
-
Iran yalaani kushambuliwa wapigakura katika nchi za nje
Jun 19, 2021 08:05Baraza Kuu la Haki za Binadamu la Iran limelaani vikali vitendo vya kushambuliwa na kuhujumiwa raia kadhaa wa Jamhuri ya Kiislamu waliojitokeza kupiga kura jana Ijumaa katika nchi kadhaa za Magharibi.
-
Matokeo ya awali yaonyesha Raeisi ameshinda urais wa Iran, wagombea wote wampongeza
Jun 19, 2021 03:48Matokeo ya awali ya uchaguzi wa Rais na Mabaraza ya Miji na Vijiji nchni Iran yanaonyesha kuwa Seyyed Ebrahim Raeisi amepata ushindi wa kishindo katika kinyang'anyiro cha kuwania kiti cha Rais wa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Rouhani: Kujitokeza wananchi kwa wingi katika uchaguzi kumemfelisha adui
Jun 19, 2021 03:46Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kushiriki kwa wingi wananchi katika uchaguzi kumepelekea taifa la Iran lipate ushindi katika kukabiliana na maadui.
-
Uchaguzi wa rais nchini Iran wamalizika baada ya upigaji kura wa masaa 19
Jun 18, 2021 22:52Uchaguzi wa urais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran umemalizika mapema leo asubuhi baada ya upigaji kura wa masaa 19 ambapo mamilioni ya wapiga kura wamejitokeza.
-
Muda wa upigaji kura nchini Iran waongezwa, matokeo ya awali kutangazwa usiku huu
Jun 18, 2021 12:27Mkuu wa Makao Makuu ya Uchaguzi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Iran amesema matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais unaofanyika kote nchini hii leo yatatolewa usiku huu.
-
Ijumaa 18 Juni, Siku ya Uchaguzi Nchini Iran
Jun 18, 2021 08:29Leo kote Iran kumefanyika uchaguzi wa 13 wa rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, pamoja na uchaguzi mdogo wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran), uchaguzi mdogo la Baraza la Wataalamu na uchaguzi wa mabaraza ya Kiislamu ya miji na vijiji.