-
Nukta kuu za uwezo wa kiulinzi wa Iran katika kujibu vitisho
Mar 09, 2021 08:16Utawala wa Kizayuni unatoa vitisho na madai dhidi ya Iran kutokana na kukata kwake tamaa.
-
Kamanda: Vijana wa Iran watatoa jibu kali kwa maadui
Mar 08, 2021 08:06Kamanda wa Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewaonya maadui kuwa tishio lolote dhidi ya Iran litakabiliwa na jibu kali kutoka kwa vijana wa nchi hii.
-
Khatibzadeh: Uhusiano wa Iran na Marekani unategemea kuondolewa vikwazo
Mar 08, 2021 07:44Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema uhusiano wa Iran na Marekani utategemea kuondolewa vikwazo vilivyowekwa na Marekani dhidi ya Iran.
-
'Hayatafanyika mazungumzo yoyote bila Marekani kuondoa vikwazo vyote dhidi ya Iran'
Mar 08, 2021 04:35Duru moja ya kuaminika ya kiusalama nchini imetangaza kuwa: hakuna mazungumzo yoyote na katika sura yoyote yatakayofanyika baina ya Iran na Marekani bila kuondolewa kwanza vikwazo vya Washington dhidi ya Tehran.
-
Fainali ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu nchini Iran
Mar 08, 2021 00:11Fainali ya Mashindano ya 37 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran inaendelea ambapo kuna washiriki kutoka kona zote za dunia.
-
Iran yautaka Umoja wa Ulaya uache vitisho
Mar 07, 2021 23:26Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezikosoa nchi za Ulaya kwa kutochukua hatua za kivitendo za kuhuisha mapatano ya nyuklia ya JCPOA ya mwaka 2015.
-
Meja Jenerali Safavi: Iran iko katika kilele cha uwezo wa kujihami angani
Mar 07, 2021 23:13Mshauri wa Ngazi za Juu wa Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Iran hivi sasa iko katika kilele cha uwezo wa kujihami hasa katika uga wa angani.
-
Rais Rouhani: Iran itapata ushindi dhidi ya Corona na sekta ya utalii itahuishwa
Mar 08, 2021 07:39Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mwaka ujao wa Kiirani wa Hijria Shamsia, utakaoanza Machi 21, utakuwa mwaka ambao taifa la Iran litapata mafanikio makubwa katika vita dhidi ya corona na pia katika vita vya kiuchumi vilivyoanzishwa na maadui wa nchi hii.
-
Waziri wa Ulinzi wa Iran: Wazayuni wakizidi kufanya upuuzi tutazisagasaga Tel Aviv na Haifa
Mar 07, 2021 10:16Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, "baadhi ya wakati, na kutokana na kutapatapa, utawala wa Kizayuni hutoa madai makubwa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuliko uwezo ulionao ukidhani unaitisha Iran ilhali unajua, na kama haujui, basi ujumbe kwamba ikiwa utazidi kufanya upuuzi tutazisagasaga Tel Aviv na Haifa na kuzisawazisha na ardhi."
-
Iran kujenga bandari kubwa zaidi ya kibiashara katika Bahari ya Oman
Mar 07, 2021 04:31Mkurugenzi Mwandamizi wa Shirika la Bandari na Ubaharia la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza habari ya kujengwa bandari kubwa zaidi ya kibiashara ya Iran katika Bahari ya Oman na katika eneo la Kuhe Mubarak katika wilaya ya Jask katika mkoa wa Hormozgan, kusini mwa nchi.