-
Rouhani: Utawala wa sasa wa Marekani ni wa kijinai na kigaidi
Nov 18, 2020 08:31Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria kuhusu mienendo haribifu na ugaidi wa kiuchumi wa Washington na kusema kuwa, utawala ulioko madarakani hivi sasa nchini Marekani ni mtenda jinai na dola la kigaidi.
-
Gharibabadi amhutubu Adel al Jubair: Usiwalaumu wengine kwa hatua zako ghalati
Nov 18, 2020 04:24Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika taasisi za kimataifa zenye makao yake mjini Vienna Austria jana usiku alijibu matamshi ya karibuni dhidi ya Iran ya Adel al Jubair Waziri Mshauri Katika Masuala ya Nje wa Saudi Arabia kwa kusema: Iwapo Riyadh inataka kuwa na miradi ya nyuklia au kuibua kisingizio kwa ajili ya kuhalalisha kutoshirikiana na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) basi iwe na uthubutu wa kulipa gharama zake.
-
Iran yaonya kutoa jibu kali kwa chokochoko zozote za Marekani
Nov 18, 2020 04:07Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeonya kutoa jibu kali kwa chokochoko na hatua yoyote ya kiuadui itakayochukuliwa na serikali ya Marekani dhidi ya maslahi yake ya kitaifa.
-
Wakiukaji wa haki za binadamu; waandaaji wa azimio la haki za binadamu dhidi ya Iran
Nov 17, 2020 10:01Juhudi za baadhi ya nchi za kupasisha azimio la haki za binadamu kwa kutumia madai bandia na yasiyo na msingi wowote dhidi ya Iran, zimegeuka na harakati ya kukakariwa.
-
Iran yatoa mkono wa pole kufuatia kifo cha Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria
Nov 17, 2020 00:21Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma ujumbe wa mkono wa pole kwa Waziri Mkuu ambaye ndiye Mkuu wa Baraza la Mawaziri la Syria kufuatia kifo cha Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo, Walid al Muallim.
-
Ayatullah Raisi: Fedheha na kuumbuka Marekani kumedhihirika wazi
Nov 16, 2020 07:38Mkuu wa Vyombo vya Mahakama nchini Iran ameashiria matukio ya hivi karibuni nchini Marekani baada ya kufanyika uchaguzi na kusema kuwa, fedheha ya Marekani imedhihirika wazi.
-
Watu wengine 486 wafariki dunia kwa virusi vya corona nchini Iran
Nov 16, 2020 07:33Msemaji wa Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu ya Iran amesema kuwa, watu wengine zaidi elfu 13 wameambukizwa virusi vya corona na wengine 486 wamefariki dunia katika kipindi cha saa 24 zilizopita.
-
Meja Jenerali Salami: Tutalipiza kisasi cha damu ya kamanda Suleimani kwa waliomuua
Nov 16, 2020 04:29Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesisitiza tena akisema: "Tutalipiza kisasi cha damu ya kamanda shahidi Qassim Suleimani kwa waliomuua."
-
Rouhani: Bajeti ijayo ya Iran haitategemea mapato ya mafuta
Nov 15, 2020 09:30Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema muswada wa bajeti ya mwaka ujao wa kifedha wa Iran unapania kufuta kikamilifu utegemezi wa mapato ya mauzo ya mafuta.
-
Ghalibaf: Kasi ya kuporomoka Marekani imeongezeka
Nov 15, 2020 04:42Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, matukio yaliyoambatana na uchaguzi wa Marekani yamezidi kuporomosha itibari ya nchi hiyo na kuongeza kasi ya kuporomoka mfumo wa kibeberu wa Marekani.