-
Timu ya voliboli ya wanawake ya Iran yatwaa ubingwa wa CAVA 2025
Oct 06, 2025 01:49Timu ya voliboli ya wanawake ya Iran iliigaraza Uzbekistan kwenye mashindano ya Kombe la Chalenji ya Wanawake wa Asia ya Kati (CAVA) jana Jumapili na kushinda taji hilo la kieneo kwa mara ya kwanza katika historia.
-
Waziri Araghchi: Ulaya 'imehafifisha' nafasi yake katika mazungumzo ya siku zijazo ya mpango wa nyuklia wa Iran
Oct 05, 2025 23:08Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi za Ulaya zimedhoofisha msimamo wao katika mchakato wa kidiplomasia unaolenga kutatua kadhia ya nyuklia ya Iran na kwa hiyo watakuwa nafasi "hafifu" katika mazungumzo yoyote yatakayofanyika siku za usoni.
-
Iran yataka OIC kuchukua hatua ya kuipiga marufuku Israel katika michezo ya dunia
Oct 05, 2025 07:12Waziri wa Michezo na Vijana wa Iran, Ahmad Donyamali amewataka mawaziri wenzake katika Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kuunda muungano wa pamoja dhidi ya utawala wa Israel ambao utasaidia kuupiga marufuku utawala huo wa Kizayuni kwenye michezo ya kimataifa.
-
Iran yalaani kushambuliwa msafara wa kimataifa wa "Sumud"
Oct 05, 2025 04:10Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran Ismaeil Baqaei amelaani vikali shambulio la utawala wa Israel dhidi ya msafara wa kimataifa wa meli nyingi wa Sumud uliokuwa ukielekea Ukanda wa Gaza.
-
Kuongezeka mauzo ya Iran kwa nchi za Asia Magharibi
Oct 04, 2025 23:00Mauzo ya bidhaa za Iran kwa nchi za Asia Magharibi yameongezeka katika mizei ya hivi karibuni.
-
Ubunifu wa watafiti wa Iran: Kuzalisha nishati kutoka kwa harakati za mwili kutibu majeraha
Oct 04, 2025 22:59Watafiti katika Chuo Kikuu cha Tehran wameunda mfumo unaotumia mienendo ya kawaida ya mwili wa binadamu kutoa nishati na kuchochea michakato ya matibabu.
-
Utafiti: Kampeni ya Akili Mnemba ilichochea uasi wakati wa vita vya Israel-Marekani dhidi ya Iran
Oct 04, 2025 07:29Utafiti wa kitaaluma umefichua jinsi kampeni ya kisasa inayotumia Akili Mnemba(AI) ilivyolenga kuchochea harakati za uasi ndani ya Iran, wakati wa vita vya kichokozi na vilivyokuwa kinyume cha sheria vilivyoendeshwa na utawala wa Israel na Marekani dhidi ya taifa la Iran mnamo mwezi Juni.
-
Ghalibaf: Hizbullah ipo hai na inaendelea na harakati zake
Oct 04, 2025 03:50Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran), Mohammad Bagher Ghalibaf amesisitiza kuwa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon ingali "hai na inafanya kazi zake kama kawaida", huku ikiungwa mkono na wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Iran yawanyonga magaidi wenye mfungamano na Israel
Oct 04, 2025 02:14Magaidi sita wanaohusishwa na utawala wa Kizayuni wa Israel wamenyongwa nchini Iran mapema leo Jumamosi.
-
Ayatullah Khatami: Njia ya kukabiliana na uvamizi na jinai ni muqawama na kusimama kidete
Oct 03, 2025 09:13Khatibu wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran amesema: "Njia ya kukabiliana na uvamizi na jinai za Wazayuni ni muqawama na kusimama kidete; njia hii imeonyesha kuwa njia pekee ya kuepusha dhulma ni kusimama kidete na kukabiliana na adui."