-
Iran yautaka utawala wa Marekani ukomeshe ugaidi wake wa kiserikali
May 14, 2020 06:42Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu madai ya Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani kwamba, eti Iran haijatoa ushirikiano katika kupambana na ugaidi na kusema kuwa, serikali ya Washington inapaswa kukomesha ugaidi wake wa kiserikali.
-
Zarif: Iran imepiga hatua kubwa katika miradi yake ya nyuklia
May 14, 2020 03:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imepiga hatua kubwa katika miradi yake ya nyuklia.
-
Iran yatoa tamko kuhusu kumbukumbu za kuanzishwa utawala wa Kizayuni katika ardhi za Wapalestina
May 14, 2020 03:30Wizara ya Mambo ya Nje Iran imetoa tamko kuhusu siku ya "Nakba" yaani siku ya nakama ya kuasisiwa utawala pandikizi wa Kizayuni katika ardhi walizoporwa Wapalestina na kusisitiza kuwa, kadhia ya Palestina itaendelea kuwa suala kuu nambari moja katika ulimwengu wa Kiislamu licha ya kufanyika njama nyingi za kulisahaulisha.
-
Iran yaapa kutoa jibu kali kwa chokochoko za kijeshi za Marekani
May 13, 2020 23:20Iran itatoa jibu kali kwa chokochoko za kijeshi za Marekani baada ya Rais Donald Trump kutumia turufu yake kupinga azimio la Bunge la Kongresi la hatua ya kijeshi isichukuliwe dhidi ya Iran kabla ya idhini ya wabunge.
-
Rais Rouhani: Utawala mbaya zaidi na muovu zaidi Marekani ndio ulioko madarakani
May 13, 2020 09:11Rais Hassan Rouhani amesema, utawala mbaya zaidi na muovu zaidi Marekani ndio ulioko madarakani na akaongeza kuwa, serikali ya Marekani siku zote ni ya kigaidi lakini kiwango hiki hakijawahi kushuhudiwa.
-
Waliopona ugonjwa wa COVID-19 nchini Iran waongezeka na kufika zaidi ya 88,000
May 12, 2020 21:54Mkuu wa Idara ya Mawasiliano ya Umma na Upashaji Habari ya Wizara ya Afya ya Iran ametangaza kuwa, hadi hivi sasa waathiriwa zaidi ya 88,357 wa ugonjwa wa COVID-19 au corona humu nchini wamepata afueni na kuruhusiwa kurejea nyumbani kutoka mahospitalini.
-
Mousavi: Utendaji mbovu wa Trump umepelekea wauguzi Marekani wapate mashinikizo
May 12, 2020 21:52Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema utendaji mbovu wa serikali ya Donald Trump ndio chanzo cha mashinikizo makubwa kwa wauguzi nchini Marekani.
-
Indhari ya Russia kuhusu kibarua kigumu katika mchakato wa kuongezwa muda wa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran
May 12, 2020 21:51Marekani imekuwa iking’ang’ania kutekeleza siasa za "mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa" na kuendeleza vikwazo dhidi ya Iran iwe ni vikwazo vya upande mmoja au vikwazo vinavyohusiana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA hususan vikwazo vya silaha.
-
Bunge la Iran lapasisha muswada wa kukabili njama za Israel
May 12, 2020 10:22Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) imepasisha kwa kauli moja muswada wa dharura wa kukabili njama za utawala wa Kizayuni wa Israel, dhidi ya amani na usalama wa kieneo na kimataifa.
-
Shule za Iran kufunguliwa Mei 16, baada ya kufungwa kwa karibu miezi 3
May 12, 2020 10:20Waziri wa Elimu wa Iran ametangaza kuwa, shule zote za humu nchini zitafunguliwa Mei 16, baada ya kufungwa kwa karibu miezi mitatu tokea mwishoni mwa Februari mwaka huu kutokana na mripuko wa virusi vya corona.