-
Polisi ya Iran yakamata zaidi ya tani nne za madawa ya kulevya mkoani Sistan na Baluchistan
May 10, 2020 09:04Kamanda wa jeshi la Polisi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mkoani Sistan na Baluchistan amesema, jeshi hilo limefanikiwa kukamata zaidi ya tani nne za mihadarati katika mipaka ya kusini mashariki mwa nchi.
-
Waliopona ugonjwa wa Covid-19 nchini Iran ni zaidi ya 85,000
May 09, 2020 08:06Wizara ya Afya, Matibabu na Mafunzo ya Tiba ya Iran imetangaza kuwa, hadi hivi sasa waathiriwa zaidi ya 85 elfu wa ugonjwa wa COVID-19 au corona humu nchini wamepata afueni na kuruhusiwa kurejea nyumbani kutoka mahospitalini.
-
Zarif amwandikia barua tena Katibu Mkuu wa UN kuhusu vikwazo haramu vya Marekani dhidi ya Iran
May 09, 2020 03:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemwandikia barua ya pili Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusiana na kujiondoa kinyume cha sheria Marekani katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, vikwazo vya upande mmoja ilivyoiwekea Iran na ukiukaji mkubwa na wa mara kwa mara inaofanya wa Hati ya Umoja wa Mataifa.
-
Zaidi ya wagonjwa 83 elfu wa COVID-19 wamepata nafuu nchini Iran
May 08, 2020 19:32Wizara ya Afya, Matibabu na Mafunzo ya Tiba ya Iran imetangaza kuwa, hadi hivi sasa waathiriwa 83 elfu na 837 wa ugonjwa wa COVID-19 au corona humu nchini wamepata nafuu na afya njema na kuruhusiwa kurejea nyumbani kutoka mahospitalini.
-
Mousavi: Siku ya Hilali/Msalaba Mwekundu inakumbusha kuhusu kukabiliana na vitisho duniani
May 08, 2020 19:31Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za pongezi kwa munasaba wa Siku ya Hilali Nyekundu na Msalaba Mwekundu Duniani na kusema: "Siku ya Hilali Nyekundu na Msalaba Mwekundu Duniani inakumbusha kuhusu vigezo vya msingi katika kukabiliana na vitisho duniani.
-
Umuhimu wa utulivu wa kisiasa na usalama wa Iraq kwa Iran
May 08, 2020 19:29Hatua ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ya kuelezea kufurahishwa kwake na kuundwa serikali mpya nchini Iraq inaonesha kuwa utulivu wa kisiasa na usalama wa nchi hiyo kwa nchi jirani ya Iran ni muhimu sana.
-
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yaitaka Marekani ihitimishe hatua zake za upande mmoja
May 08, 2020 07:04Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Marekani inapaswa kuhitimisha hatua zake za upande mmoja na zenye madhila.
-
Sala ya Ijumaa yasaliwa katika miji 157 ya Iran baada ya kusimamishwa kwa zaidi ya miezi 2
May 08, 2020 03:49Sala ya Ijumaa inatazamiwa kusaliwa hii leo katika miji 157 na mikoa 21 ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, baada ya kusimamishwa tokea mapema mwezi Machi mwaka huu kutokana na mripuko wa virusi vya corona.
-
Karibu watu 83 elfu wapona corona nchini Iran
May 07, 2020 08:58Wizara ya Afya, Matibabu na Mafunzo ya Tiba ya Iran imetangaza kuwa, hadi hivi sasa waathiriwa 82 elfu na 744 wa ugonjwa wa COVID-19 au corona humu nchini wamepata nafuu na afya njema na kuruhusiwa kurejea nyumbani kutoka mahospitalini.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu; Uzalishaji, msingi wa kujengea uchumi imara
May 07, 2020 03:37Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, uzalishaji ndio msingi unaowezesha kupatikana uchumi wa kitaifa na ulio imara.