-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu; Uzalishaji, msingi wa kujengea uchumi imara
May 07, 2020 03:37Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, uzalishaji ndio msingi unaowezesha kupatikana uchumi wa kitaifa na ulio imara.
-
Rouhani aitaka EU iishinikize Israel isitishe mashambulizi yake Syria
May 07, 2020 03:32Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa hili linataraji kuwa Umoja wa Ulaya utaushinikiza utawala haramu wa Israel ukomeshe mashambulizi yake dhidi ya Syria.
-
Janga la Corona na matarajio ya baina ya pande mbili ziliyonayo Iran na Japan
May 06, 2020 08:37Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameishukuru serikali ya Japan kwa misaada ya kirafiki iliyoipatia Iran wa ajili ya kukabiliana na virusi vya corona.
-
Kiongozi Muadhamu asisitiza kuhusu umuhimu wa wafanyakazi katika uchumi salama
May 06, 2020 07:02Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuhusu nafasi na umuhimu wa wafanyakazi na majukumu ya mwajiri na mwajiriwa katika kuimarisha ubora na wingi wa uzalishaji na utajiri katika uchumi salama.
-
Rouhani: Iran haitakubali ukiukwaji wa azimio 2231
May 06, 2020 06:46Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Tehran katu haitakubali ukiukwaji wowote wa azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Ameongeza kuwa: "Ni haki isiyopingika ya Iran kuwa, vikwazo vya silaha viondolewe dhidi yake hivi karibuni katika fremu ya azimio hilo."
-
Iran yasema madai ya Marekani dhidi yake ni 'mzaha mchungu'
May 06, 2020 03:28Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kuashiria juu ya uhusiano madhubuti baina ya taifa hili na Afghanistan, imekosoa vikali madai ya Marekani dhidi ya Tehran kuhusu tukio la kupoteza maisha raia wa Kiafghani katika eneo la Herat, mpakani mwa nchi mbili hizi.
-
Rais Rouhani: Iwapo Marekani ni mkweli kuhusu madai yake, isitishe vikwazo dhidi ya Iran
May 05, 2020 23:45Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu madai ya Marekani kuwa iko tayari kuisadia Iran kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19 (corona) na kusema: "Iwapo Wamarekani ni wakweli, njia pekee ni kuondoa vikwazo vilivyo kinyume cha sheria dhidi ya Iran."
-
Zarif: Pompeo alisome kwa makini azimio 2231 la Baraza la Usalama
May 05, 2020 23:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammad Javad Zarif ametoa tamko kuhusu jitihada za Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo za kutaka kuongezwa muda wa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran na kusema: "Azimio 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa halijatengana na mapatano ya nyuklia ya JCPOA; Pompeo asome kwa makini kuhusu azimio 2231."
-
Sisitizo la Rais Rouhani kuhusu ulazima wa kushirikiana na kusaidiana kwa ajili ya kukabiliana na ugonjwa wa corona
May 05, 2020 03:19Kuyawekea mashinikizo mataifa kwa sura ya ugaidi wa kiuchumi na vitisho vya kijeshi inapasa kuondoke na nafasi yake kuchukuliwa na ushirikiano wa pande mbili, wa pande kadhaa na wa kimataifa kwa ajili ya kupambana na vitisho halisi na vya pamoja.
-
Mousavi: Iran itatoa jibu kali endapo vikwazo vya silaha dhidi yake vitarefushwa
May 04, 2020 21:51Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema, Jamhuri ya Kiislamu itatoa jibu kali endapo vikwazo vya silaha dhidi yake vitarefushwa.