-
Kiongozi Muadhamu: Watu wa eneo hili wanaichukia sana Marekani
Jan 01, 2020 08:59Kiongozi Muadhamu wa Mapinzudi ya Kiislamu akibainisha kwamba, 'Mimi, serikali na taifa la Iran tunalaani vikali shambulizi la Marekani dhidi ya Hashdu sh-Sha'abi ya Iraq', amesisitiza kuwa, watu wa eneo hili wanaichukia sana Marekani.
-
Iran yaitaka Marekani iachane na sera zake haribifu katika eneo
Jan 01, 2020 04:37Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameionya Marekani juu ya matokeo mabaya ya hatua zake haribifu na zisizo na mantiki katika eneo la Asia Magharibi.
-
Rais Rouhani awatumia viongozi wenzake duniani salamu za mwaka mpya 2020 Miladia
Jan 01, 2020 00:11Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia ujumbe wa pongezi marais na viongozi na mataifa ya Wakristo kwa mnasaba wa kuanza mwaka mpya wa Miladia wa 2020.
-
Rouhani: Watu wa Iran ni watiifu kwa mapinduzi na kiongozi
Dec 31, 2019 09:04Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Watu wa Iran ni watiifu kwa Mapinduzi, Kiongozi na Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran."
-
IRGC: Vikosi na wananchi wa Iraq wana haki ya kujibu shambulizi la Marekani
Dec 31, 2019 03:55Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) sambamba na kulaani uvamizi uliofanywa na wanajeshi wa Marekani katika ardhi ya Iraq na shambulio walilofanya dhidi ya ngome za vikosi vya kujitolea vya wananchi vya wa nchi hiyo vya Hashdu Shaabi, limesema vikosi vya usalama pamoja na wananchi wa Iraq wana haki ya kujibu chokochoko hizo za Washington.
-
Dei 9, taifa la Iran latakiwa kuimarisha msimamo wake wa kupambana na ubeberu
Dec 30, 2019 09:44Washiriki wa maadhimisho ya "Dei 9" kote nchini Iran wametoa mwito kwa wananchi kuwa macho na kuimarisha msimamo wao wa kupambana na uistikbari kwani ni kwa njia hiyo ndipo taifa hili la Kiislamu litaweza kushinda vita vya pande zote vya adui.
-
Iran: Shambulio la kijeshi la Marekani dhidi ya vikosi vya Wairaqi ni kielelezo cha wazi cha ugaidi
Dec 30, 2019 08:42Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema, uvamizi uliofanywa na wanajeshi wa Marekani katika ardhi ya Iraq na shambulio walilofanya dhidi ya ngome za vikosi vya kujitolea vya wananchi vya wa nchi hiyo vya al-Hashdu-Sha'abi ni kielelezo cha wazi cha ugaidi; na akasisitiza kwamba: Marekani inapaswa ikomeshe kuwepo kwake kivamizi katika eneo hili.
-
Maulamaa wa Kiislamu wataka kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky
Dec 30, 2019 03:59Miito mbalimbali ya kutaka kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imeendelea kutolewa na shakhsia, wanaharakati na Maulamaa wa Kiislamu katika maeneo mbalimbali ya dunia.
-
Iran yazialika nchi za eneo kushiriki katika mazoezi ya kijeshi baharini
Dec 29, 2019 09:30Kamanda wa Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria kufanyika mazoezi ya pamoja ya majeshi ya majini ya Iran, China na Russia na kusema Iran inazialika nchi zote za eneo kushiriki katika mazeozo yajayo ya majeshi ya majini.
-
Sayyari: Mazoezi ya kijeshi ya Iran, Russia na China yanafanyika chini ya uongozi wa Iran
Dec 28, 2019 23:23Mratibu wa Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Mazoezi ya pamoja ya majeshi ya majini ya Iran, Russia na China yanafanyika chini ya uongozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.