-
Iran yaanza kutekeleza Hatua ya Nne ya kupunguza uwajibikaji wake katika JCPOA
Nov 06, 2019 13:17Utekelezaji wa hatua ya nne iliyochukuliwa na Iran ya kupunguza uwajibikaji wake katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA umeanza rasmi leo katika kituo cha nyuklia cha Fordow.
-
Mousavi: Makubaliano ya Riyadh hayatosaidia kutatua matatizo ya Yemen
Nov 06, 2019 11:55Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran Sayyid Abbas Mousavi, amesema kuhusu makubaliano ya Riyadh yaliyofikiwa kati ya baadhi ya makundi ya kusini mwa Yemen na Abd Rabbuh Mansur Hadi, rais wa nchi hiyo aliyejiuzulu, kwamba kusainiwa hati kama hiyo ya makubaliano hakutasaidia chochote katika kutatua matatizo ya Yemen.
-
Zarif: Nchi za Ulaya zifungamane na mapatano ya JCPOA
Nov 05, 2019 23:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri wa Kiislamu ya Iran amezitaka nchi za Ulaya zifungamane na ahadi zao katika mapatano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji (JCPOA) .
-
Kuzinduliwa kizazi kipya cha mashinepewa; hatua nyingine ya ustawi wa teknolojia ya nyuklia nchini Iran
Nov 05, 2019 23:38Hatua mpya imepigwa ikiwa ni katika kuendelea kupiga hatua Iran katika sekta ya elimu ya nyuklia kufuatia kuanza kazi ya kujaza gesi katika mashine za mashinepewa za kisasa (Centrifuges) aina ya IR6.
-
Russia yaunga mkono hatua ya nne ya Iran kuhusu JCPOA
Nov 05, 2019 11:01Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ametangaza kuwa hatua ya nne iliyochukuliwa na Iran kwa ajili ya kupunguza utekelezaji wa majukumu yake ndani ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ni jambo la kimantiki.
-
Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Iran; jitihada zilizofeli za Washington
Nov 05, 2019 08:06Serikali ya Trump inatekeleza vikwazo dhidi ya Iran ambavyo havijawahi kushuhudiwa huko nyuma baada ya Marekani kujitoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA mwezi Mei mwaka jana 2018 katika fremu ya siasa zake za mashinikizo ya juu zaidi dhidi ya nchi hii; na ingali inaiwekea Iran vikwazo vipya.
-
Rais Rouhani: Iran kuchukua hatua ya nne ya kupunguza uwajibikaji wake kwenye JCPOA
Nov 05, 2019 04:37Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itaanza kutekeleza hatua ya nne ya kupunguza uwajibikaji wake kwenya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kuanzia kesho.
-
Iran yaanza kuweka gesi katika mashinepewa za kizazi cha kisasa
Nov 04, 2019 23:23Oparesheni ya kuweka gesi ya uranium hexafluoride (UF6) katika injini za mashinepewa (centrifuge) za kisasa aina ya IR 6 imeanza katika Kituo cha Kurutubisha Urani cha Natanz katika sherehe iliyohudhuriwa na Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran, Ali Akbar Salehi.
-
Iran yapinga madai ya afisa wa Marekani kuhusu ubalozi
Nov 04, 2019 23:01Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imepinga madai ya afisa mmoja wa Marekani ambaye amedai kuwa Iran inataka Marekani ifungue ofisi ya masuala ya visa katika Ubalozi wa Usiwishi mjini Tehran.
-
Maandamano ya tarehe 13 Aban yafanyika kote Iran ya Kiislamu
Nov 04, 2019 08:51Marasimu ya maandamano ya kuadhimisha Siku ya Taifa ya Kupambana na Ubeberu wa Kimataifa yamefanyika mapema leo hapa Tehran sambamba na miji mingine ya Iran kwa kuhudhuriwa na umati mkubwa wa wananchi wakiwemo wanachuo na viongozi wa serikali.