-
Mwakilishi wa Hamas Iran asisitiza kuhusu umoja wa nchi za Kiislamu
Oct 10, 2019 00:55Mwakilishi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) nchini Iran ametoa wito wa Umoja wa nchi za Kiislamu katika kukabiliana na maadui.
-
Jeshi la Iran liko tayari kukabiliana na vitisho vyovyote vya adui
Oct 10, 2019 00:49Kamanda Mkuu wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Jeshi la Iran liko tayari kukabiliana na kila aina ya vitisho ambavyo adui amevipanga"
-
Kiongozi Muadhamu: Iran haiwekezi kwa ajili ya kuzalisha na kutunza mabomu ya nyuklia
Oct 09, 2019 10:28Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amepongeza msimamo imara na wa kishujaa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusiana na uharamu wa kutumia bomu la nyuklia na kusema kuwa: Iran haiwekezi kwa ajili ya kutengeneza na kutunza bomu ya nyuklia.
-
Rais Rouhani: Njama za Marekani za mashinikizo ya kiwango cha juu dhidi ya taifa la Iran zimefeli
Oct 09, 2019 10:27Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, njama za Marekani za mashinikizo ya kiwango cha juu dhidi ya taifa la Iran zimefeli na kwamba takwimu zote na moyo na utanashati wa taifa la Iran vinaonesha kuwa, kipindi cha mashinikizo ya kiwango cha juu kimeyoyoma.
-
Meja Jenerali Salami: Vikwazo ni sababu kuu ya kunawiri teknolojia ya kiulinzi nchini Iran
Oct 09, 2019 04:39Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema kuwa vikwazo vya kidhalimu vya maadui wa Iran, ni sababu kuu ya kunawiri teknolojia ya kiulinzi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Iran: Tumevishinda vikwazo vya Marekani
Oct 08, 2019 08:08Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa la Iran limefanikiwa kuvuka kipindi kigumu cha vikwazo na kusema kuwa, licha ya Marekani kuweka vikwazo vikubwa vya kiuchumi, lakini uchumi wa Iran unazidi kuimarika.
-
Kituo cha kuongozea operesheni za ulinzi wa anga katika Ghuba ya Uajemi chaanza kazi rasmi
Oct 08, 2019 07:40Kituo cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran cha kuongezea operesheni za ulinzi wa anga katika Ghuba ya Uajemi kimeanza kazi rasmi leo katika mkoa wa Bushehr kusini mwa nchi.
-
Uturuki yaihakikishia Iran, mashambulizi yake Syria ni ya muda mfupi
Oct 08, 2019 04:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amemhakikishia mwenzake wa Iran kwamba, mashambulizi ya jeshi la nchi hiyo huko kaskazini mwa Syria yaliyoanza Jumatatu usiku ni ya muda mfupi.
-
Rabii: Iran inaendeleza juhudi zake za kuimarisha amani na urafiki katika eneo
Oct 08, 2019 01:05Msemaji wa serikali ya Iran amesisitiza kuwa wale wanaotaka mabaya wafahamu kuwa Iran haitasitisha jitihaa zake za kuendeleza amani na urafiki na majirani zake.
-
Ethiopia yailaumu Misri kwa kukwamisha mazungumzo kuhusu bwawa la al Nahdha
Oct 07, 2019 04:13Serikali ya Ethiopia imeilaumu Misri kwa kukwamisha mazungumzo kuhusiana na bwawa la al Nahdha linalojengwa na Ethiopia kwa ajili ya kufaidika na maji ya Mto Nile.