-
Mapinduzi ya Kiislamu; chimbuko la mageuzi ya kiroho na kimaanawi ya wananchi wa Iran
Feb 05, 2024 06:24Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu nyingine ya mfululizo wa vipindi hivi maalumu vinavyokujieni kwa mnasaba wa Alfajiri Kumi kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 45 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ya Iran yaliyotokea 1979
-
Tarehe 12 Bahman, kumbukumbu ya kurejea Iran Imam Khomeini; kuanza Alfajiri Kumi
Jan 31, 2024 16:36Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Wasikilizaji wapenzi, Alkhamisi ya tarehe Mosi Februari wiki hii inasadifiana na tarehe 12 Bahman ambayo ni kumbukumbu ya moja ya matukio makubwa katika historia ya zama hizi, tukio la tarehe 12 Bahman 1357 kwa mujibu wa kalenda ya Hijria Shamsia iliyosadifiana na tarehe Mosi Februari 1979.
-
Uzayuni wa Kikristo na Israel
Jan 27, 2024 09:00Makala yetu ya wiki hii inahusu nafasi ya Uzayuni wa Kikristo katika kuendeleza vita vya Gaza na kuzuia amani.
-
Kipindi maalumu cha siku ya kuzaliwa Imam Ali AS
Jan 24, 2024 03:13Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Tarehe 13 Rajab mwaka wa 30 Amul Fil, kulitokea tukio kubwa na la kushangaza ambalo lilikuwa halijawahi kutokea na halitatokea tena katika historia ya mwanadamu. Hii ilikuwa tarehe ya kuzaliwa Imam Ali (as) katika Nyumba ya Mwenyezi Mungu, al-Kaaba.
-
Kesi ya Afrika Kusini dhidi ya uhalifu wa Israel huko Gaza katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki
Jan 18, 2024 12:08Makaka yetu wiki hii itaangazia mashtaka yaliyowasilishwa na Afrika Kusini dhidi ya Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki, (IJC) kwa tuhuma za kufanya uhalifu wa kivita na mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa Gaza huko Palestina.
-
Krismasi 2024 na Zawadi za Damu
Jan 10, 2024 10:29Mwaka huu mpya wa 2024 ulianza tofauti na miaka yote iliyopita. Katika ukumbusho wa kuzaliwa Nabii Isa Masih, mji wa Bait Laham (Bethlehem), mahali alikozaliwa Mtume huyo wa Mungu, uligubikwa na kimya na hali ya huzuni na majonzi, badala ya sherehe na shamrashamra.
-
Mabomu ya Marekani yanavyoua watoto Ukanda wa Gaza
Jan 03, 2024 11:37Baada ya kupita miezi mitatu ya mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kizayuni wa Israel huko Ukanda wa Gaza, eneo hilo sasa limegeuka na kuwa kaburi kubwa zaidi la watoto kuwahi kushuhudiwa duniani.
-
Kumbukumbu ya kuuawa Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani
Jan 02, 2024 16:45Hamjambo na karibuni kujiunga nami katika makala hii maalumu ya kukumbuka kuuawa shahidi Kamanda wa Kiislamu, Haj Qassem Soleimani, fahari na kinara wa Iran katika mapambano dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh (ISIS). Kamanda huyu shujaa aliuawa shahidi katika shambulio la kikatili na kigaidi la ndege za kivita za Marekani huko Iraq.
-
Majina na Lakabu za Bibi Faat'imatu-Zahraa (SalamuLlahi Alayhaa)
Jan 01, 2024 04:08Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji wa Radio Tehran mpopote pale mlipo wakati huu. Mnamo tarehe 20 Mfunguo Tisa, Jumada-Thani, mwaka wa tano kutokea Kubaathiwa Bwana Mtume, uliosadifiana na mwaka 615 Miladia, nyumba ya Nabii Muhammad (SAW) Mjumbe wa Mwenyezi Mungu na mkewe Bibi Khadija katika mji wa Makka, iliangazwa na nuru ya kuzaliwa mwana mtukufu. Mwenyezi Mungu aliwabariki watukufu hao wawili binti ambaye, alikuja kuendeleza kizazi kitoharifu cha Bwana Mtume SAW.
-
Kuongezeka idadi ya watu wanaotumia intaneti duniani mwaka 2023
Dec 28, 2023 09:31Karibuni wasikilizaji wapendwa wa Idhaa ya Kiswahili Redio Tehran katika kipindi chetu cha makala ya wiki ambapo tutatupia jicho ongezeko la watumiaji wa intaneti duniani mwaka 2023.