uncategorised
  • Vita vya Gaza na Kitendawili cha Siku Zijazo

    Vita vya Gaza na Kitendawili cha Siku Zijazo

    Dec 21, 2023 07:40

    Hamjambo na karibuni kuwa nami katika kipindi chetu cha Makala ya Wiki ambacho kitaangazia vita vya Gaza na kitendawili kinachogubika mustakbali wa mapambano ya uhuru ya Wapalestina katika siku zijazo.

  • Kumbukumbu ya kufa shahidi Fatima Zahra (as)

    Kumbukumbu ya kufa shahidi Fatima Zahra (as)

    Dec 18, 2023 12:48

    Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika kipindi hiki maalumu kinachokuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyokufa shahidi Bibi Fatima Zahra (a.s) binti mtukufu wa Mtume Muhammad (s.a.w).

  •  Siku ya Kimataifa ya Haki za Binadamu

    Siku ya Kimataifa ya Haki za Binadamu

    Dec 13, 2023 08:48

    Tarehe 10 Disemba imepewa jina la Siku ya Kimataifa ya Haki za Binadamu, siku ambayo Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) lilipasisha tangazo la Kimataifa la Haki za Binadamu mwaka 1948. Kwa mnasaba huo tumewaandalia kipindi maalumu chini ya anwani: "Haki zisizo za binadamu, kwa mnasaba wa siku hiyo.

  • Utepe Mwekundu: Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Ukimwi

    Utepe Mwekundu: Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Ukimwi

    Nov 30, 2023 12:25

    Tarehe Mosi Disemba imepewa jina la Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Ukimwi na kwa mnasaba wa maadhimisho ya siku hii tumewaandalia kipindi hiki maalumu cha Utepe Mwekundu kwa mnasaba wa kuwadia tarehe Mosi Disemba ambayo kila mwaka huadhimishwa kama Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Ukimwi.

  • Mauaji ya Gaza na madai ya ubinadamu ya Wamagharibi

    Mauaji ya Gaza na madai ya ubinadamu ya Wamagharibi

    Nov 22, 2023 11:04

    Karibuni wasikilizaji na wafuatiliaji wa matangazo ya Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran katika Makala yetu ya Wiki hii ambayo itatupia jicho mauaji yanayofanyika Ukanda wa Gaza na madai ya Wamagharibi ya kutetea ubinadamu.

  • Ukatili wa Kijinsia dhidi ya Watoto Katika Nchi za Magharibi

    Ukatili wa Kijinsia dhidi ya Watoto Katika Nchi za Magharibi

    Nov 22, 2023 10:40

    Jamii za Wamagharibi, khususan zile zilizoendelea na zinazodai kutetea ubinadamu za Ulaya, zina sura nyingine isiyoonekana waziwazi kwa watu wengi. 

  • Kumbukumbu ya kuzaliwa Bibi Zaynab al-Kubra (as)

    Kumbukumbu ya kuzaliwa Bibi Zaynab al-Kubra (as)

    Nov 18, 2023 18:33

    Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyozaliwa Bibi Zaynab al-Kubra (a.s) binti ya Imam Ali bin Abi Talib (a.s); mwanamke ambaye aliondokea kuwa mashuhuri kutokana na kujipamba kwa sifa njema, fadhila, elimu, subira na ushujaa mkubwa aliokuwa nayo.

  • Aban 13, Siku ya Taifa ya Kupambana na Uistikbari wa Kimataifa

    Aban 13, Siku ya Taifa ya Kupambana na Uistikbari wa Kimataifa

    Nov 13, 2023 11:51

    Assalamu alaykum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran popote pale mlipo hasa huko nyumbani Afrika Mashariki. Ni matumaini yangu kuwa, mubukheir wa afya na mnaendelea vyema katika kutekeleza majukumu yenu ya kila siku.

  • Kupambana na Utawala wa Kizayuni wa Israel katika Mtazamo wa Uislamu

    Kupambana na Utawala wa Kizayuni wa Israel katika Mtazamo wa Uislamu

    Nov 09, 2023 11:27

    Hamjambo na karibuni kuwa nasi katika kipindi chetu cha Makala ya Wiki ambacho leo kinaangazia mtazamo wa dini ya Kiislamu kuhusu kujilinda na kukabiliana na ukandamizaji, uchokozi na uvamizi.