-
Bidhaa za Israel zasusiwa katika maduka ya nchi za Ulaya
Jul 05, 2025 11:52Maduka makubwa katika nchi kadhaa za Ulaya yameacha kuuza bidhaa za Israel ili kujibu ghadhabu za wanunuzi za bidhaa hizo kutokana na vita vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Gaza.
-
Askari wapatao 40 wa Israel waangamizwa na kujeruhiwa katika mzingiro Ghaza
Jul 05, 2025 03:59Kamanda mwandamizi wa Sarayal-Quds, tawi la kijeshi la Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina ametangaza kuwa, askari wapatao 40 wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel wameuawa au kujeruhiwa katika operesheni ya kijeshi iliyoratibiwa na wapiganaji wa Muqawama mashariki ya Ghaza.
-
Barua ya siri ya Trump itairuhusu Israel kuanzisha vita tena Ghaza hata vikisitishwa
Jul 05, 2025 03:55Ripoti za kuaminika zilizotolewa na duru za habari zinasema, utawala wa Kizayuni wa Israel unamtaka rais Donald Trump wa Marekani aupe hakikisho kuwa utaruhusiwa kuanzisha tena vita na mauaji ya kimbari Ghaza ikiwa matakwa yake hayatatekelezwa, hata kama mazungumzo ya usitishaji vita kwa muda wa siku 60 yatakuwa yanaendelea.
-
Nafasi ya Uingereza katika vita vya Gaza yamulikwa; Mashinikizo yashtadi kwa ajili ya kufanyika uchunguzi
Jul 05, 2025 00:46Huku idadi ya Wapalestina wanaouawa shahidi ikiongezeka huko Gaza, mashinikizo ya kuitaka serikali ya Uingereza kufanya uchunguzi huru kuhusina na mchango wa nchi hiyo katika vita vya Gaza yanazidi kuongezeka.
-
UNRWA: Watu wa Gaza wanazirai mitaani kwa sababu ya njaa
Jul 04, 2025 11:53Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada kwa Ajili ya Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limetangaza leo Ijumaa kwamba Ukanda wa Gaza unasumbuliwa na hali mbaya na kwamba njaa imekithiri katika eneo hilo, na watu wanazimia barabarani kutokana na njaa kali.
-
Israel yaua zaidi ya watu 300 wa Gaza ndani ya masaa 48
Jul 04, 2025 03:43Ofisi ya Vyombo vya Habari vya Serikali ya Gaza inaripoti kuwa wanajeshi wa Israel wamewaua shahidi zaidi ya Wapalestina 300 katika muda wa saa 48 zilizopita, ambapo Israel ilifanya mauaji ya kimbari 26.
-
Afisa wa Israel: Kujenga upya uharibifu uliotokana na mashambulio ya Iran kutachukua miaka
Jul 04, 2025 03:41Huku vyombo vya habari vya Israel vikifichua kidogo kidogo kiwango cha uharibifu uliosababishwa na jibu la makombora ya Iran, maafisa wanakiri kwamba eneo la Tel Aviv limepata uharibifu mkubwa wa kimuundo ambao utachukua miaka kukarabatiwa.
-
Al-Houthi: Naukubali mwenendo wa Iran dhidi ya adui
Jul 03, 2025 23:43Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen, Sayyid Abdul Malik Badruddin al-Houthi, amezungumzia vita vya siku 12 vilivyoanzishwa na utawala wa Kizayuni wa Israel na washirika wake dhidi ya Iran na kusisisitiza kuwa "mfano wa Iran" umeonyesha kuwa nguvu ni matokeo ya muongozo wa Mwenyezi Mungu, uamuzi sahihi na ustahamilivu.
-
Francesca Albanese: Makampuni kadhaa ya kimataifa yanahusika katika mauaji ya kimbari ya Gaza
Jul 03, 2025 09:06Ripota Maalumu wa hali ya haki za binadamu katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu amesema kuwa, makampuni kadhaa ya kimataifa yanahusika katika mauaji ya kimbari ya Gaza.
-
WHO: Mfumo wa afya Gaza unakabiliwa na hatari ya kusimama kikamilifu
Jul 03, 2025 08:34Shirika la Afya Duniani (WHO) limeonya kuwa, mfumo wa afya katika Ukanda wa Gaza unakabiliwa na hatari ya kusimama kikamilifu kutokana na uhaba wa nishati, kwani hakuna shehena ya mafuta iliyoingiakatika ukanda huo kwa zaidi ya siku miezi mitatu sasa.