-
Ripoti: Israel imevurumishiwa makombora 26,000 tokea Oktoba 7
Nov 03, 2024 03:14Makombora zaidi ya 26,000 yamevurumishwa kuelekea katika maeneo ya Wapalestina yanayokaliwa kwa mabavu (Israel), tokea utawala huo wa Kizayuni uanzishe vita vya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza mnamo Oktoba mwaka jana.
-
Al-Nujaba: Tutapiga kambi za US, ikiisaidia Israel kuishambulia Iraq
Nov 03, 2024 02:47Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Al-Nujaba ya Iraq amesema, kundi hilo la Muqawama litalenga kambi na vituo vya kijeshi vya Marekani endapo Washington itatoa msaada wowote katika mashambulizi yanayoweza kufanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Iraq.
-
Hadaa ya Marekani na utawala wa Kizayuni katika mpango wa kusitisha vita
Nov 02, 2024 23:06Viongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) wamesisitiza kuwa sababu kuu ya kuendelea vita Ukanda wa Gaza na kutofikia natija juhudi za usitishaji vita ni hadaa na ukwamishaji unaofanywa na Marekani na utawala wa Kizayuni.
-
WFP: Hatutachukua jukumu la UNRWA Gaza
Nov 02, 2024 23:02Shirika la Mpango wa Chakula Duniani WFP limetangaza kuwa, haliwezi kutumika kama mbadala wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada ya kiutu kwa Wakimbizi wa Kipalestina katika Mashariki ya Kati (UNRWA) huko Gaza.
-
Jerusalem Post: Jeshi la Israel linamshinikiza Netanyahu asitishe vita, hasara zimezidi
Nov 02, 2024 09:30Gazeti la Jerusalem Post limeripoti kuwa taasisi ya kijeshi ya Israel inataka kusitishwa vita katika maeneo ya Gaza na Lebanon, kwa sababu inaamini kuwa hakuna mafanikio yanayoweza kupatikana kijeshi.
-
Israel yaililia Russia iwe mpatanishi kati yake na Hizbullah
Nov 02, 2024 07:44Israel sasa inaiasa Russia eti ishiriki katika 'juhudi za amani' zinazolenga kumaliza mzozo kati ya utawala huo wa Kizayuni na Harakati ya Hizbullah ya Lebanon.
-
Watoto 50 ni kati ya watu 84 waliouawa katika 'mauaji ya halaiki ya kikatili' iliyofanya Israel Ghaza
Nov 02, 2024 03:50Wapalestina 84 wakiwemo watoto zaidi ya 50 wameuliwa shahidi katika mashambulizi mawili ya kinyama yaliyofanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya majengo ya makazi ya raia kaskazini mwa Ukanda wa Ghaza.
-
Muqawama wa Kiislamu wa Iraq waendeleza mashambulizi dhidi ya vituo vya wanajeshi wa Kizayuni
Nov 02, 2024 03:50Muqawama wa Kiislamu wa Iraq umetangaza kuwa umekilenga kituo muhimu katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu ya Palestina (Israel).
-
Mauaji ya umati ya Wapalestina kwa silaha za Marekani
Nov 01, 2024 23:24Kuendelea jinai za utawala wa Kizayuni huko Ghaza kwa kutumiwa silaha za Marekani limekuwa suala lenye utata linalojadiliwa katika duru za kisiasa na vyombo vya habari vya Marekani.
-
Hizbullah: Tumefanikiwa kuangamiza wanajeshi 95 wa Israel
Nov 01, 2024 07:00Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imesema zaidi ya maafisa na wanajeshi 95 wa Israel wameuawa na wengine wasiopungua 900 wamejeruhiwa tangu utawala huo ghasibu uanzishe operesheni ya nchi kavu dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu.