-
Mashambulizi ya jeshi la Kizayuni dhidi ya Syria
Oct 24, 2024 03:18Ndege za kijeshi za utawala wa Kizayuni zimeshambulia kwa mabomu miji ya Damascus na Homs.
-
Jeshi la Kizayuni kutokuwa na uwezo wa kuendelea na vita vya Ukanda wa Gaza
Oct 24, 2024 00:53Kuendelea vita vya Ukanda wa Gaza, kumeanika wazi zaidi udhaifu wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika medani ya vita.
-
'Fimbo ya Sinwar' yazaa msemo mpya wa Kiarabu kwa ushujaa wa kiongozi huyo wa Palestina
Oct 23, 2024 23:11Kitendo cha mwisho cha upinzani alichoonyesha kiongozi wa Hamas Shahidi Yahya Sinwar, kilichonaswa na kamera ya ndege isiyo na rubani ya jeshi la utawala wa Kizayuni na kurushwa hewani duniani kote, kimeibua msemo mpya wa lugha ya Kiarabu wenye maana ya 'ukinzani' na kuashiria moyo usiotetereka wa Wapalestina wa kupambana hadi pumzi ya mwisho.
-
Hizbullah ya Lebanon yathibitisha kuuawa shahidi Sayyid Hashim Safiyyuddin
Oct 23, 2024 22:44Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imetoa taarifa na kuthibitisha kuuawa shahidi Mkuu wake wa Baraza la Utendaji katika shambulio lililofanywa na utawala wa Kizayuni kwenye kitongoji Adh-Dhaahiyah Kusini katika mji mkuu wa nchi hiyo Beirut.
-
Hizbullah yavipiga makombora viwanja vya ndege vya Ben Gurion na Ramat David, Tel Aviv
Oct 23, 2024 09:27Wapiganaji wa Hizbullah ya Lebanon wameshambulia kwa makombora kadhaa viwanja vya ndege vya Ben Gurion na Ramat David katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu na Wazayuni yaliyopachikwa jina bandia la Israel.
-
70% ya Wazayuni hawataki kurudi katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel)
Oct 23, 2024 06:35Licha ya juhudi za Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni za kuwarejesha walowezi wa Kizayuni kwenye vitongoji walivyojengewa lakini matokeo ya uchunguzi yameonyesha kuwa asilimia 70 kati yao hawataki kurejea tena katika makazi hayo.
-
Wanajeshi 3 wa Israel wauawa, akiwemo naibu kamanda wa kikosi, 20 wajeruhiwa katika vita vya Gaza na Lebanon
Oct 23, 2024 04:32Jeshi la Israel limetangaza kuwa naibu kamanda wa kikosi na mwanajeshi mmoja wameuawa na wengine 3 kujeruhiwa vibaya katika mapigano kusini mwa Lebanon na kufanya idadi ya wanajeshi za Israel waliouawa jana Jumanne kuwa 3 na wengine 20 kujeruhiwa katika Ukanda wa Gaza na Lebanon.
-
Yemen yaipiga kwa mafanikio kambi ya kijeshi ya Israel kwa kombora la hypersonic
Oct 22, 2024 22:56Vikosi vya jeshi la Yemen vimesema kuwa vimefanikiwa kuipiga kambi ya kijeshi ya Israel kwa kombora la hypersonic.
-
Jarida la Marekani, Foreign Affairs: Hamas itabakia hai
Oct 22, 2024 22:56Jarida la Marekani la "Foreign Affairs" limeandika katika ripoti yake kwamba, kuuawa shahidi Yahya al-Sinwar, sio tu kwamba hakutaiangamiza Hamas, bali Harakati hiyo ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina itaendelea kufanya kazi zake za mapambano ya ukombozi.
-
Makumi ya Wapalestina wauawa shahidi katika shambulio la kikatili la utawala wa Kizayuni kwenye kambi ya Jabalia
Oct 22, 2024 04:36Jeshi la Kizayuni limeshambulia kwa makombora raia wanaoishi katika kambi ya Jabalia na kulenga nyumba moja kaskazini mwa Gaza na kuwaua Wapalestina 26, baadhi yao wakiwa ni watoto.