-
Utendaji mpya wa Ansarullah ya Yemen dhidi ya Israeli; sasa ni jicho kwa jicho
Oct 01, 2024 23:40Katika kukabiliana na mashambulio mapya ya utawala wa Kizayuni dhidi ya taasisi mafuta na bandari za Yemen, Harakati ya Ansarullah ya Yemen imetishia kushambulia maeneo ya raia huko Israel (Palestina inayokaliwa kwa mabavu).
-
Qatar yataka mataifa ya Kiislamu kuungana kupambana na utawala wa Kizayuni
Oct 01, 2024 23:00Waziri mshauri wa serikali ya Qatar katika masuala ya uhusiano wa kimataifa ameonya kuhusu hatari ya kuzuka vita vikubwa vya ukanda mzima wa Asia Magharibi na ametaka mataifa ya Kiislamu yaungane kukomesha jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel unaofanya mauaji ya kizazi huko Palestina na Lebanon.
-
Hizbullah ya Lebanon yawatwanga tena kwa makombora wanajeshi wa utawala wa Kizayuni
Oct 01, 2024 10:28Wanamapambano wa Muqawama wa Kiislamu wa Lebanon wamefanya mashambulizi mengine makali kwa kulitwanga kwa makombora eneo walipokuwa wamekusanyika wanajeshi wa utawala wa Kizayuni katika maeneo ya kaskazini mwa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu ambazo zimepachikwa jina bandia la Israel.
-
UNICEF yaeleza wasiwasi wake kuhusu hali mbaya ya watoto wa Lebanon
Oct 01, 2024 10:16Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF, ametahadharisha kuhusu hali mbaya ya kibinadamu nchini Lebanon na ameelezea wasiwasi wake kuhusu hali ya watoto nchini humo.
-
Israel yashambulia kwa mabomu makazi ya wakimbizi wa Kipalestina Gaza
Oct 01, 2024 02:54Ndege za kivita za utawala wa Kizayuni zimeshambulia kwa mabomu shule ya makazi ya Wapalestina katika mji wa Gaza.
-
Radiamali ya Nicaragua kwa mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni huko Palestina na Lebanon
Oct 01, 2024 02:48Valdrack Jaentschke Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Nicaragua amekosoa vikali na mfumo usio wa haki unaotawala dunia hivi sasa na kulaani vikali mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni na waitifaki wake dhidi ya watu madhulumu wa Palestina na Lebanon.
-
HAMAS: Tumeangamiza idadi kubwa ya askari wa Israel Gaza
Sep 30, 2024 23:49Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetangaza habari ya kuangamiza idadi kubwa ya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel kusini mwa Ukanda wa Gaza.
-
UNRWA: Hali ya kiafya katika Ukanda mzima wa Gaza si ya kibinadamu
Sep 30, 2024 22:48Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limetangaza kuwa hali ya kiafya na kimaisha katika Ukanda wa Gaza si ya kibinadamu.
-
Madai ya Marekani katika muktadha wa kujaribu kuzuia vita Asia Magharibi
Sep 30, 2024 22:47Marekani ambayo ni mdhamini mkubwa zaidi wa silaha kwa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa ajili ya mashambulizi makubwa dhidi ya watu wa Lebanon na Gaza, sasa inajitokeza kwa unafiki na kutoa wito wa kupunguzwa mivutano na kurejeshwa amani katika eneo la Magharibi mwa Asia.
-
Sheikh Naim Qassim: Tumejiandaa kikamilifu kukabiliana na Israel
Sep 30, 2024 10:40Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema, harakati hiyo imejiandaa kikamilifu kukabiliana na mashhambulio ya utawala haramu wa Israel.