-
Mufti wa Oman apongeza shambulio dhidi ya makazi ya Netanyahu
Oct 21, 2024 03:05Mufti Mkuu wa utawala wa Kisultani wa Oman amepongeza shambulio la wanamuqawama lililolenga makazi ya Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Yemen: Yahya Sinwar alikuwa na mchango muhimu katika vita dhidi ya Israel
Oct 20, 2024 23:18Waziri wa Mambo ya Nje wa Yemen ameeleza kuwa shahidi Yahya Sinwar Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Hamas alikuwa na mchango muhimu katika vita nan utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza na ndio maana akawa shabaha ya utawala wa Kizayuni na kuuliwa shahidi.
-
Jihadul Islami: Marekani inahusika na mauaji ya kimbari kaskazini mwa Gaza
Oct 20, 2024 23:16Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina imesema kuwa Marekani inahusika na mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina kaskazini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Kuendelea maandamano dhidi ya Netanyahu katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel)
Oct 20, 2024 09:56Maandamano dhidi ya Benjamin Netanyahu ya Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu yamepelekea kuibuka vuta nikuvute na makabiliano kati ya waandamanaji na polisi.
-
Hizbullah yafanya mashambulio makubwa dhidi ya vituo vya kijeshi vya utawala wa Kizayuni
Oct 20, 2024 03:17Katika kuendeleza operesheni zake za kuzuia hujuma, Hizbullah ya Lebanon imefanya mashambulio makali ya makombora na mizingia yaliyolenga ngome za Wazayuni kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel).
-
Shambulio kubwa lililofanywa na Israel bila ya onyo lolote laua Wapalestina 81 Ghaza
Oct 20, 2024 03:15Wapalestina wasiopungua 81 wameuawa shahidi katika shambulizi la kinyama lililofanywa na jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel kwenye mji wa Beit Lahiya kaskazini mwa Ukanda wa Ghaza.
-
Kwa silaha na uwezeshaji wa US, Israel imedhamiria kuwahamisha Wapalestina wote wa Ghaza
Oct 20, 2024 03:13Hassan Mneimneh, mchambuzi wa kisiasa wa Taasisi ya Mashariki ya Kati, ameiambia Al Jazeera kwamba ukatili unyama na unaofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza umewezeshwa na Marekani na usambazaji wake wa silaha kwa ajili ya kuendesha vita katika eneo hilo la Palestina.
-
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kufuatia kuuawa shahidi Yahya al Sinwar
Oct 19, 2024 23:15Ayatullah Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe kufuatia kuuawa shahidi Yahya al Sinwar, Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) na kusisitiza kuwa alikuwa taswira inayong'aa ya mapambano na muqawama.
-
UN: Uhuru wa maoni na kujieleza umekandamizwa vikali katika vita vya Israel dhidi ya Ghaza
Oct 19, 2024 23:14Mtaalamu wa Umoja wa Mataifa wa kuchunguza haki ya uhuru wa kutoa maoni na kujieleza amesema, uhuru wa maoni na kujieleza umehatarishwa vibaya zaidi huko Ghaza kuliko ilivyotokea katika mzozo wowote ule wa hivi karibuni, huku waandishi wa habari wakilengwa katika eneo hilo lenye vita na waungaji mkono wa Palestina wakikandamizwa katika nchi nyingi duniani.
-
Hizbullah yazindua mtambo mpya wa makombora
Oct 19, 2024 23:13Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah imezindua mtambo wake wa maroketi wa M80 maalumu kwa kurushia maroketi ya kushambulia adui kutoka ardhini hadi ardhini.