-
Sayyid Hassan Nasrullah: Kushindwa kwa adui Mzayuni hakuna shaka
Nov 23, 2023 11:04Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza utayarifu kamili wa muqawama katika nyanja mbalimbali na kuutaja ushindi wa mwisho wa muqawama na kushindwa adui Mzayuni kkwamba, ni hakika na jambo lisilo la shaka.
-
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa: Mauaji ya raia huko Gaza hayajawahi kutokea
Nov 23, 2023 10:25Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, ambaye katika kipindi cha mwezi mmoja na nusu uliopita amekuwa akieleza tu masikitiko yake kuhusu vita vya Gaza mara hii amesema: Mauaji ya raia huko Gaza hayajawahi kutokea tangu alipokuwa Katibu Mkuu.
-
Karibu waandishi habari 60 wameuawa tangu Israel ianzishe vita dhidi ya Gaza
Nov 23, 2023 09:47Zaidi ya waandishi wa habari 60 wameuawa tangu utawala haramu wa Israel ulipoanzisha hujuma na mashambulio ya kinyama dhidi ya eneo la Ukanda wa Gaza huko Palestina.
-
Matokeo ya kuendelea vita vya pande zote dhidi ya Gaza; kufunguliwa uwanja mpya wa vita kutokea Yemen
Nov 23, 2023 03:07Sambamba na kuendelea mashambulizi ya mabomu ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza kwa kipindi cha mwezi mmoja na nusu uliopita, uwezekano wa kupanuliwa maeneo ya vita daima limekuwa jinamizi baya zaidi kuwahi kufikiriwa na Wazayuni katika vita hivyo.
-
Israel yaendelea kushambulia hospitali na kambi za wakimbizi Gaza
Nov 22, 2023 23:37Kwa akali Wapalestina 100 waliuawa shahidi jana Jumatano na usiku wa kuamkia jana katika mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Kiongozi wa Hizbullah akutana na maafisa waandamizi wa HAMAS Beirut
Nov 22, 2023 23:37Katibu Mkuu wa Hizbullah jana Jumatano alikutana na ujumbe wa maafisa wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS mjini Beirut kujadili matukio ya Gaza, huku idadi ya wananchi wa Palestina waliouawa shahidi kwenye mashambulizi ya kikatili ya Israel katika eneo hilo linalokaliwa kwa mabavu ikikaribia 15,000.
-
Usitishaji vita wa siku 4 Gaza; sababu na ishara zake
Nov 22, 2023 23:34Hatimaye baada ya siku 47, utawala wa Kizayuni na Hamas wamefikia makubaliano ya kusitisha mapigano kwa muda wa siku nne.
-
Je, kwa nini vita vya Gaza haviishi?
Nov 22, 2023 07:52Licha ya kupita siku 46 tangu kuanza vita vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Ukanda wa Gaza, lakini bado hakuna dalili zozote za kumalizika vita hivyo.
-
Hatimaye vita vya Gaza vyasimamishwa kwa muda wa siku 4
Nov 22, 2023 03:09Hatimaye kumefikiwa makubaliano ya kusitisha vita huko Gaza kwa muda wa siku nne ili kutoa fursa ya kufikishwa misaada ya kibinadamu na pande mbili kubadilishana mateka.
-
Wazayuni waendeleza jinai Ghaza, waliouawa shahidi wakaribia 15,000
Nov 22, 2023 00:01Ofisi ya Upashaji Habari ya Serikali ya Palestina huko Ghaza, usiku wa kuamkia leo Jumatano imetangaza kuwa, idadi ya wananchi wa Palestina waliouawa shahidi kwenye mashambulizi ya kikatili ya Israel imekaribia 15,000.