-
Shambulio la Saudia nchini Yemen laua na kujeruhi mamia ya watu
Jul 11, 2022 06:47Muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia kwa mara nyingine umekiuka makubaliano ya usitishaji wa Umoja wa Mataifa, na kuua na kujeruhi mamia ya raia wa Yemen katika shambulio jipya, kaskazini mwa nchi.
-
Mapendekezo ya Amnesty International kwa Riyadh kuhusu haki za binadamu
Jul 11, 2022 03:51Shirika la Kutetea Haki za Binadamu lisilo la kiserikali la (Amnesty International) limetaka kusainiwa waraka ambao unamtaka Mfalme wa Salman wa Saudi Arabia aondoe marufuku ya kiholela dhidi ya safari ya wanaharakati na watetezi wa haki za binadamu nchini humo.
-
Iran na Imarati kushirikiana zaidi katika kukabiliana na uchafuzi wa vumbi
Jul 11, 2022 03:23Msemaji wa Shirika la Kulinda Mazingira la Iran amesemam kuwa Tehran na Abu Dhabi zitaimarisha ushirikiano kati yao ili kukabiliana na msambao wa vumbi angani.
-
Cairo yautaka utawala wa Kizayuni utoe maelezo kuhusu mauaji ya wanajeshi wa Misri
Jul 11, 2022 03:12Rais wa Misri ameutaka utawala wa Kizayuni kutoa maelezo kuhusu kugudnuliwa kaburi la umati lenye miili ya wanajeshi wa Misri walichomwa wakiwa hai na wanajeshi wa utawala huo katika vita vya mwaka 1967
-
Kadhia ya Palestina ndicho kipaumbele muhimu zaidi kwa Waislamu wa Marekani
Jul 10, 2022 22:06Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa nchini Marekani yanaonyesha kuwa Waislamu wengi wa nchi hiyo wanalichukulia suala la Palestina kuwa ndicho kipaumbele kikuu kwao.
-
Tahadhari kuhusu uwezekano wa kusambaratika usitishaji vita nchini Yemen
Jul 10, 2022 22:04Mahdi al-Mashat, Mkuu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen ametahadharisha kuhusu uwezekano wa kuanzishwa tena operesheni za kijeshi, akiashiria ukiukaji vita wa mara kwa mara unaofanywa na muungano wa kijeshi wa Saudia.
-
Hizbullah: Operesheni ya droni kwenye machimbo ya gesi ya Karish imeilazimu Israel kubadili msimamo
Jul 10, 2022 04:49Afisa mwandamizi wa Hizbullah amesema droni tatu (ndege zisizo na rubani) za harakati hiyo ambazo zilitumwa kwenye machimbo ya gesi ya Karish wiki hii zilikuwa na "athari ya haraka" wakati wa mazungumzo ya kuweka mpaka wa bahari kati ya Lebanon na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Washirika wa Saudia huko Yemen wabomoa msikiti wa kihistoria, ulikuwa na umri wa miaka 700
Jul 10, 2022 03:42Idara ya Wakfu ya Yemen metangaza kuwa, kundi la kigaidi la Al-Qaeda lenye mfungamano na Saudi Arabia limeharibu sehemu kubwa ya Msikiti wa Al-Nour katika wilaya ya Al-Khukha mkoani al Hudaydah.
-
Safari ya kwanza ya Bashar Assad mjini Aleppo (Halab)
Jul 10, 2022 02:40Rais Bashar al-Assad wa Syria aliutembele mji wa Aleppo (Halab) siku ya Ijumaa na sambamba na kushiriki katika swala ya Eid al-Adha, alizindua miradi kadhaa ya kiuchumi na maendeleo katika mji huo.
-
Mchambuzi Mzayuni: Uwezo wa kijeshi wa anga wa Hizbullah umekuwa mkubwa zaidi
Jul 09, 2022 22:17Mchambuzi mmoja wa chaneli ya 14 ya televisheni ya utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa harakati ya muqawama wa Kiislamu nchini Lebanon ya Hizbullah imekuwa na nguvu na uwezo mpya wa kijeshi katika uga wa angani.