-
UN yabainisha wasiwasi wake kuhusu kuongezeka mapigano huko al Hudaydah, Yemen
Jan 28, 2021 22:37Umoja wa Mataifa umesema kuwa, una wasiwasi kutokana na kuongezeka mapigano kati ya wapiganaji wa harakati ya Ansarullah na wale wa serikali iliyojiuzulu ya Yemen katika eneo la kistratejia la al Hudaydah.
-
Makao ya uongozi mpya wa Daesh huko al Anbar yasambaratishwa
Jan 28, 2021 22:36Wapiganaji wa Harakati ya Hashdu Shaabi ya Iraq wamesambaratisha makao ya uongozi wa kundi la kigaidi la Daesh katika eneo la jangwani katika mkoa wa al Anbar magharibi mwa nchi hiyo.
-
Yemen: Kusitisha kuziuzia silaha Saudia na UAE hakutafuta doa la jinai za Marekani
Jan 28, 2021 03:55Mjumbe wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amesema kuhusu hatua ya Marekani ya kusitisha kwa muda kuziuzia silaha Saudi Arabia na Imarati kwamba kufanya hivyo hakutafuta doa la jinai za Washington za kushirikiana na nchi hizo mbili.
-
Rais wa Uturuki: Jamii ya kimataifa ikomeshe uenezwaji chuki dhidi ya Uislamu
Jan 28, 2021 03:55Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amekosoa vyombo vya kijamii vya Magharibi kugeuzwa kuwa jukwaa la kuenezea chuki dhidi ya Uislamu na chuki dhidi ya wageni na akaitaka jamii ya kimataifa ichukue hatua kuzuia mwenendo huo.
-
Kuanza oparesheni ya pamoja ya kiusalama kati ya al Hashdu Shaabi na jeshi la Iraq huko al Anbar
Jan 27, 2021 08:31Harakati ya Hashdu Shaabi na jeshi la Iraq zimeanzisha oparesheni ya pamoja katika mkoa wa al Anbar magharibi mwa nchi hiyo dhidi ya magaidi wa Daesh.
-
Januari 25; siku ya uungaji mkono wa fikra za waliowengi duniani kwa Yemen
Jan 27, 2021 06:03Tarehe 25 Januari ni siku ya kimataifa ya kuiunga mkono Yemen, ambapo maandamano makubwa yalifanyika Yemen kwenyewe na katika baadhi ya nchi zingine kulaani uvamizi wa muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo.
-
Arab League yakiri kwamba kadhia ya Palestina imedharauliwa kwa makusudi
Jan 27, 2021 03:56Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu amelaumu vikali misimamo ya baadhi ya nchi kuhusu kadhia ya Palestina na kulalamika kuwa, taifa la Palestina limedharauliwa kwa makusudi.
-
Wanajeshi wa Israel wamuua shahidi Mpalestina katika Ukingo wa Magharibi
Jan 27, 2021 00:55Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamempiga risasi na kumuua shahid kijana Mpalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Kufunguliwa ubalozi; Imarati katika mkondo wa kupanua uhusiano na Israel
Jan 26, 2021 23:11Ubalozi wa utawala haramu wa Israel ulifunguliwa rasmi huko Abu Dhabi mji mkuu wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) tarehe 21 ya mwezi huu wa Januari.
-
Wazayuni wamevunja zaidi ya nyumba nyingine 800 za Wapalestina
Jan 26, 2021 03:57Mwaka 2020, utawala wa Kizayuni wa Israel ulivunja nyumba 869 za Wapalestina na taasisi nyingine mbalimbali za wananchi hao wanaodhulumiwa kila upande.