-
Mamluki wa Saudia na Imarati watishiana vita Yemen
Apr 19, 2020 03:14Kundi la watu wanaopigania kujitenga kusini mwa Yemen linaloungwa mkono na Umoja wa Falme za Kiarabu limetoa onyo kali la kuingia vitani na mamluki wa Saudi Arabia, huku migawanyiko baina ya pande mbili hizo ikiendelea kupanuka.
-
Harakati ya Jihad Islami ya Palestina yasisitiza kuendelea kuwatetea mateka Wapalestina
Apr 18, 2020 07:17Harakati ya Jihad Islami ya Palestina imesisitiza kuwa itaendelea kutekeleza majukumu yake ya kuwatetea mateka Wapalestina wanaoshikiliwa na utawala wa Kizayuni wa Israel ili hatimaye waachiliwe huru.
-
Ripoti: Mamia ya Wanawafalme Saudia wanaugua corona
Apr 18, 2020 07:09Kuna idadi kubwa ya wanawafalme katika Ufalme wa Saudi Arabia ambao wanaugua ugonjwa wa corona au COVID-19, na idadi yao kamili ni kubwa kuliko ile inayotangazwa na vyombo husika.
-
Baraza la Usalama lataka kusitishwa vita mara moja huko Yemen
Apr 18, 2020 03:23Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeunga mkono pendekezo la Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa la kusitishwa vita mara moja nchini Yemen.
-
Yemen: Tutaendelea kupambana kiume na majeshi vamizi ya Saudi Arabia
Apr 17, 2020 20:12Msemaji wa vikosi vya ulinzi vya Yemen amesisitiza kuwa, jeshi la nchi hiyo hiyo likishirikiana na kamati za kujitolea za wananchi litaendelea kusimama kidete mbele ya mashambulio ya majeshi vamizi ya muungano unaoongozwa na Saudi Arabia.
-
Aprili 17 na jinai zinazokaririwa na utawala wa Kizayuni dhidi ya mateka wa Kipalestina
Apr 17, 2020 20:10Kufuatia kuibuka ugonjwa wa corona katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel), utawala wa Kizayuni wa Israel ungali unaendeleza jinai dhidi ya mateka wa Kipalestina.
-
Ndege za kivita za Saudi Arabia zaendelea kushambulia maeneo mbalimbali ya Yemen
Apr 17, 2020 08:24Ikiwa imeopita wiki moja tangu kuanza kutekelezwa kile kinachodaiwa na Saudia kuwa ni usishaji vita nchini Yemen, ndege za kivita za muungano vamizi unaongozwa na nchi hiyo kuanzia leo asubuhi zimeshambulia mara 15 maeneo mbalimbali ya kaskazini mashariki mwa Yemen.
-
Shirika la Ujasusi la Israel MOSSAD lakiri kupora maski na vifaa vya tiba
Apr 17, 2020 02:53Afisa mmoja wa ngazi ya juu wa Shirika la Ujasusi la Israel MOSSAD amekiri juu ya kuibwa na shirika hilo maski na vifaa vya afya kwa lengo la kukabiliana na mgogoro wa virusi vya Corona ndani ya ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (yaani Israel.)
-
Madai ya kushangaza ya Saudia; serikali ya Mansur Hadi inaihudumia Iran
Apr 17, 2020 02:34Siku ya Jumatano Muhammad Aal Jabir, balozi wa Saudi Arabia nchini Yemen alimtuhumu Ahmed Saleh Al-Issa, naibu mkuu wa masuala ya kiuchumi wa ofisi ya Abdurabbuh Mansur Hadi, rais aliyestaafu na kukimbia nchi wa Yemen kuwa anaiuzia mafuta Iran.
-
Silaha za Marekani zagunduliwa katika ngome za genge la Daesh (ISIS) Kirkuk, Iraq
Apr 17, 2020 00:08Mmoja wa makamanda wa Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi ya Iraq amevieleza vyombo vya habari kuhusu taarifa ya kugunduliwa silaha za Marekani katika ngome za kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) katika mkoa wa Kirkuk, kaskazini mwa Iraq.