-
Palestina yataka walowezi wa Kizayuni watambuliwe rasmi kuwa ni magaidi
Dec 17, 2019 04:43Wizara ya Mambo ya Nje ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina imetoa wito wa kuwekwa jina la walowezi wa Kizayuni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina katika orodha ya magaidi.
-
Guterres asisitiza udharura wa kutumwa misaada ya kibinadamu Syria
Dec 17, 2019 03:28Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kutumwa misaada zaidi ya kibinadamu nchini Syria kupitia mipaka ya nchi kavu.
-
Waziri Mkuu wa Palestina: Mpango wa Marekani wa 'Muamala wa Karne" unapingwa na Wapalestina
Dec 16, 2019 23:40Waziri Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ametangaza kuwa, Wapalestina haukubali mpango wa Marekani wa "Muamala wa Karne".
-
Qatar: Hatuwezi kuzisahau nchi zilizotusaidia katika kipindi cha vikwazo
Dec 16, 2019 23:40Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Qatar amesema kuwa, licha ya Doha kuyafanyia uchunguzi matakwa ya nchi za Ghuba ya Uajemi yenye lengo la kutatua mozozo na hitilafu, lakini katu haitazisahau nchi zilizoisaidia Qatar katika kipindi cha vikwazo na mashinikizo.
-
Uturuki yatishia tena kufunga Kituo cha Anga cha Incirlik
Dec 16, 2019 23:38Rais Recep Tayyep Erdogan wa Uturuki kwa mara nyingine tena imetishia kwamba atafunga shughuli za majeshi ya Marekani katika Kituo cha Anga cha Incirlik nchini hiyo.
-
Rais Bashar al Assad: Mapambano dhidi ya magaidi ni utangulizi wa mapambano dhidi ya Marekani
Dec 16, 2019 09:13Rais Bashar al Assad wa Syria amesema kuwa mapambano dhidi ya magaidi ni utangulizi wa makabiliano ya uwepo haramu wa askari wa Marekani nchini humo.
-
Qatar: Waarabu wanapaswa kuanza mazungumzo na Iran
Dec 16, 2019 04:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amewataka wanachama wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi kuanza mazungumzo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Wanajeshi wa Sudan waendelea kuondoka nchini Yemen
Dec 16, 2019 04:16Vyombo vya habari vimeripoti kuwa, wanajeshi wengine wa Sudan waliokuwa wametumwa kuivamia Yemen, wameondoka nchini humo.
-
Uturuki: Hatukubaliani na vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran
Dec 15, 2019 23:04Serikali ya Uturuki kupitia Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo imekosoa vikali vikwazo vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Oman na Qatar zataka kuimarisha uhusiano na Iran
Dec 15, 2019 04:31Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema taifa hili linajivunia kuwa na uhusiano mzuri na wa udugu na Oman huku akisisitizia umuhimu wa kuimarishwa uhusiano huo.