-
Namna Ulaya Ilivyochoshwa na Uchukuaji Hatua wa Upande Mmoja wa Marekani
Apr 26, 2026 09:10Kuendelea kupanuka ufa wa mpasuko uliojitokeza kati ya Ulaya na Marekani kumezifanya serikali za Ulaya zichoshwe na mienendo ya udhalilishaji ya Trump na uchukuaji wake wa hatua wa upande mmoja.
-
Kwa Nini Chuki Dhidi ya Israel Zinaendelea Kuongezeka Ndani ya Marekani?
Apr 26, 2026 08:52Chama cha Democrat nchini Marekani hivi sasa kinazihama enzi za uungaji mkono wake wa jadi kwa utawala bandia wa Israel na kuhamia kwenye zama za kupingana vikali na utawala huo.
-
Kwa Nini Marekani Inaonekana si Mshirika wa Kuaminika kwa Nchi za Kiarabu?
Apr 24, 2026 05:51Vita vilivyoanzishwa na Marekani na utawala wa Kizayuni dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vimekuwa na matokeo muhimu katika eneo la Asia Magharibi na hasa Ghuba ya Uajemi. Moja ya matokeo muhimu ya vita hivyo ni kuthibitika kwamba Marekani si mshirika wa kutegemewa na nchi za Kiarabu za eneo hilo.
-
Kansela wa Ujerumani: Athari mbaya za vita dhidi ya Iran haziishii kwenye ongezeko la bei ya mafuta
Apr 26, 2026 08:09Kansela wa Ujerumani ameonya kwamba matokeo mabaya ya vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran hayaishii kwenye ongezeko la bei ya mafuta, bali pia yanatishia misingi ya uchumi wa Ujerumani.
-
Utafiti wa Fox News: Trump hana afya ya akili
Apr 25, 2026 11:04Asilimia 60 ya washiriki katika utafiti wa Fox News, kituo kinachomuunga mkono rais wa Marekani, wamesema kuwa Donald Trump hana tabia na afya ya akili inayofaa.
-
Ripoti ya kimataifa: Theluthi mbili ya wanaokabiliwa na migogoro ya chakula duniani wanaishi katika nchi 10
Apr 25, 2026 10:57Ripoti ya kimataifa imeonya kwamba mzozo wa Mashariki ya Kati unaweza kuzidisha migogoro iliyopo, ikifichua kuwa watu milioni 266 katika nchi au maeneo 47 walikabiliwa na viwango vya juu vya uhaba wa chakula mnamo 2025, karibu mara mbili ya idadi iliyorekodiwa mnamo 2016.
-
Papa Leo aendelea kukosoa vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran
Apr 25, 2026 05:15Papa Leo wa Kumi na Nne, kiongozi wa Wakatoliki duniani, ameendelea kukosoaji vikali sera za kuchochea vita za Donald Trump, Rais wa Marekani, akiwa ziarani barani Afrika na kwa mara nyingine amekemea vita na mashambulizi ya nchi hiyo ikishirikiana na utawala haramu wa Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Imekuwaje Muungano wa Nchi za Magharibi na Marekani Sasa Unaelekea Kutoweka?
Apr 24, 2026 06:22Jarida la Foreign Policy la nchini Marekani limetahadharisha kuwa, vita vya kichokozi vilivyoanzishwa na Marekani na utawala wa kizayuni wa Israel dhidi ya Iran ni nukta ya kushuhudiwa mabadiliko muhimu yanayopelekea kudhoofika muungano wa Magharibi.
-
Kremlin: Putin yuko tayari kukutana na Zelensky kukamilisha makubaliano ya amani
Apr 23, 2026 09:41Ikulu ya Rais wa Russia, Kremlin, imeeleza kuwa Rais Vladimir Putin wa nchi hiyo yuko tayari kukutana na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, lakini ikiwa mkutano wao utahusu suala la kusaini makubaliano ya amani.
-
Vita vya maneno vya Trump dhidi ya Papa, chanzo na matokeo yake
Apr 22, 2026 16:24Tofauti zilizozuka kati ya Trump na Papa Leo wa 14 hazitokani na masuala ya kisiasa pekee, lakini zimesababishwa zaidi na hulka ya majivuno na ya kujikweza aliyonayo rais huyo wa sasa wa Marekani.