-
Wataalamu wa Umoja wa Mataifa: Wanaharakati wakosoaji wa Israel sio wahalifu
Jan 28, 2025 04:31Wataalamu wa Umoja wa Mataifa na wanaharakati wa mitandao ya kijamii wamelaani vikali kukamatwa kwa mwandishi maarufu wa habari Mmarekani mwenye asili ya Palestina katika mji wa Zurich Uswisi, wakisema kuwa kunazua wasiwasi kuhusu uhuru wa kujieleza katika nchi za Magharibi.
-
Mashirika ya haki za binadamu ya Poland: Mkamateni waziri mhalifu wa Israel
Jan 28, 2025 04:29Mashirika ya kutetea haki za binadamu nchini Poland yametoa wito wa kukamatwa Waziri wa Elimu wa Israel ambaye yuko safarini nchini humo.
-
Waislamu wanasherekea siku ya kupewa Utume Nabii Muhammad (saw)
Jan 27, 2025 23:35Waislamu katika pembe mbalimbali za dunia leo wanaadhimisha kumbukumbu ya kubaathiwa na kupewa Utume, Nabii Muhammad (saw).
-
Kwa nini Trump hastahamili kuwepo kwa wahamiaji Waislamu huko Marekani?
Jan 27, 2025 23:23Moja ya amri tisa za Donald Trump katika siku ya kwanza ya uongozi wake ni kupitiwa upya sheria ya kurejesha marufuku ya Waislamu kuingia Marekani, suala ambalo iwapo litaidhinishwa na kutekelezwa, litakuwa na madhara makubwa kwa wahamiaji Waislamu nchini Marekani na hata waombaji visa Waislamu.
-
Rais wa Colombia alegeza kamba baada ya Trump kuamuru vikwazo dhidi ya nchi hiyo
Jan 27, 2025 03:44Rais Donald Trump wa Marekani jana alisema kuwa ataiwekea Colombia ushuru wa asilimia 25 na vikwazo baada ya nchi hiyo ya Amerika ya Kusini kukataa kuruhusu kutua nchini humo ndege mbili za kijeshi za Marekani zilizobeba wahamiaji waliofukuzwa huko Marekani.
-
Uroho wa Trump katika muhula wa pili wa urais wake
Jan 27, 2025 01:11Rais Donald Trump wa Marekani ameanza muhula wake wa pili wa uongozi huku akiweka hadharani uroho wake wa kupora ardhi, biashara na fedha za mataifa mengine ambapo ametangaza wazi azma yake ya kutaka kunyakua na kuunganisha ardhi za nchi huru na Marekani na pia kuhodhi kandarasi zenye faida kubwa kutoka kwa washirika wa Washington.
-
Waziri Mkuu wa Slovakia: Ukraine haitaweza katu kujiunga na NATO, ni baidi pia kupata uanachama wa EU
Jan 26, 2025 23:06Waziri Mkuu wa Slovakia Robert Fico amesema, Ukraine haitaweza katu kujiunga na shirika la kijeshi la NATO, na ni baidi pia kuwa jitihada zake za kuwa mwanachama wa Umoja wa Ulaya zitafanikiwa.
-
Marekani kuipa Israel mabomu 1,800 aina ya MK-84
Jan 26, 2025 22:56Washington imesema mabomu 1,800 ya MK-84 yaliyohifadhiwa Marekani yatasafirishwa na kupelekewa utawala wa Kizayuni wa Israel katika siku chache zijazo.
-
Brazil yaishutumu US baada ya wahajiri waliofukuzwa kuwasili wakiwa wamefungwa pingu
Jan 26, 2025 22:54Serikali ya Brazil imeeleza kughadhabishwa kwake baada ya makumi ya wahamiaji waliofukuzwa kutoka Marekani kuwasili kwa ndege wakiwa wamefungwa pingu, na kusema kuwa ni "kupuuzwa waziwazi" kwa haki zao.
-
Trump apendekeza Wapalestina wa Ghaza wahamishwe na kupelekwa Misri na Jordan
Jan 26, 2025 08:06Rais Donald Trump wa Marekani amependekeza Wapalestina wa Ukanda wa Ghaza wahamishwe katika ardhi yao hiyo na kupelekwa nchi jirani kama Misri na Jordan, pendekezo lisilo la kawaida ambalo lilipingwa hata na utawala wa mtangulizi wake Joe Biden.