-
Safari ya mawaziri wa mambo ya nje wa Marekani na Uingereza nchini Ukraine
Sep 13, 2024 22:50Safari ya Anthony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani akiwa na mwenzake wa Uingereza David Lemmy nchini Ukraine sio tu haitoi ujumbe mzuri kwa ajili ya kumaliza vita vya nchi hiyo na Russia, bali inatoa ishara mbaya ya kuongezeka moto wa vita hivyo.
-
Mashia wauawa Afghanistan katika hujuma ya magaidi wa Daesh
Sep 13, 2024 08:13Raia takribani 14 wameuawa katika shambulizi la kigaidi la kundi la Daesh nchini Afghanistan ambapo walikuwa wamekusanyika kuwakaribisha wafanyaziara wanaowasili kutoka maeneo matakatifu mjini Karbala, Iraq.
-
Kwa ombi la Algeria: Baraza la Usalama lajadili shambulizi la Israel dhidi ya shule ya UN huko Gaza
Sep 13, 2024 04:05Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limejadili athari za mashambulizi mawili ya anga yaliyofanywa Israel juzi Jumatano kwenye shule inayowahifadhi waliokimbia wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza, ambayo yameua raia 18, wengi wao wakiwa wanawake na watoto, na kujeruhi wengine wengi.
-
Mwanaume ajichoma moto nje ya ubalozi mdogo wa Israel huko Boston, Marekani
Sep 13, 2024 04:03Video ya kamera za ulinzi inamuonyesha mwanaume akijichoma moto nje ya ubalozi mdogo wa Israel katika mji wa Boston huko Marekani, akidaiwa kupinga vita vya mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala huo dhidi ya watu wa Palestina huko Gaza.
-
Mashirika ya haki za binadamu yataka UN 'iwalinde' mateka wa Kipalestina
Sep 12, 2024 23:02Mashirika ya kutetea haki za binadamu yametoa wito kwa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa kuchukua hatua za haraka "kuwalinda watu walionyimwa uhuru wao" katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Safari ya pamoja ya mawaziri wa mambo ya nje wa Marekani na Uingereza nchini Ukraine
Sep 12, 2024 08:21Anthony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amefanya safari ya pamoja na mwenzake wa Uingereza David Lemmy nchini Ukraine kwa ajili ya kuongeza misaada ya kijeshi na kifedha ya nchi za Magharibi kwa nchi hiyo katika vita vyake dhidi ya Russia.
-
US kutoa msukumo Afrika iwe na viti 2 vya kudumu visivyo na kura ya veto katika UNSC
Sep 12, 2024 04:10Marekani itaunga mkono kuanzishwa viti viwili vya kudumu lakini visivyo na haki ya kura ya turufu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa ajili ya mataifa ya Afrika na kiti kimoja kitakachozungushwa miongoni mwa mataifa madogo ya visiwa vinavyoendelea. Hayo yanatarajiwa kutangazwa leo na balozi wa nchi hiyo katika Umoja wa Mataifa Linda Thomas-Greenfield.
-
Mdahalo wa kwanza wa uchaguzi wa rais wa Marekani kati ya Harris na Trump
Sep 12, 2024 03:56Mgombea wa chama cha Demokrat Kamala Harris na mgombea wa chama cha Republican Donald Trump katika uchaguzi wa urais wa Marekani wa Novemba 5, 2024, walishiriki katika mdahalo wao wa kwanza siku ya Jumanne usiku, Septemba 10.
-
Zaidi ya watu 150 wapoteza maisha kwa kimbunga kilichosababisha mafuriko Vietnam
Sep 11, 2024 22:58Idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na kimbunga Yagi imeongezeka hadi 152 nchini Vietnam, kulingana na makadirio ya serikali, huku moja ya mito mikubwa nchini humo ikifikia kiwango chake cha juu zaidi katika miongo miwili.
-
Serikali ya Australia kupitisha sheria ya kupiga marufuku vijana wadogo kutumia mitandao ya kijamii
Sep 10, 2024 22:50Waziri Mkuu wa Australia Anthony Albanese ametangaza kuwa serikali yake inapanga kupiga marufuku watoto kutumia mitandao ya kijamii.