Dunia
  • UN: Waliowafanyia unyama mahabusu wa Kipalestina katika jela za Israel wawajibishwe

    UN: Waliowafanyia unyama mahabusu wa Kipalestina katika jela za Israel wawajibishwe

    Aug 08, 2024 04:03

    Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) amesema lazima kuwepo na uwajibishaji dhidi ya ukiukaji wa haki za Wapalestina wanaoshikiliwa katika magereza ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Uingereza katika dimbwi la ghasia za siasa kali za wafuasi wa mrengo wa kulia

    Uingereza katika dimbwi la ghasia za siasa kali za wafuasi wa mrengo wa kulia

    Aug 07, 2024 09:20

    Serikali ya Uingereza imeitisha kikao cha dharura ikiwa ni radiamali ya kuenea ghasia na vitendo vya utumiaji mabavu vya wafuasi wa mrengo wa kulia dhidi ya wahamiaji na Waislamu.

  • NAM: Mauaji ya Ismail Haniyah ni kitendo cha kigaidi

    NAM: Mauaji ya Ismail Haniyah ni kitendo cha kigaidi

    Aug 07, 2024 03:21

    Harakati ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote (NAM) sanjari na kulaani mauaji ya kigaidi ya Ismail Haniyah, Mkuu wa Kisiasa wa Harakati ya Muqawama ya Palestina HAMAS, imeyataja mauaji hayo kama kitendo cha kigaidi.

  • Umoja wa Mataifa wataka kukabidhiwa madaraka kwa amani nchini Bangladesh

    Umoja wa Mataifa wataka kukabidhiwa madaraka kwa amani nchini Bangladesh

    Aug 06, 2024 09:26

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesisitiza udharura wa kuhamishwa madaraka kwa njia ya amani nchini Bangladesh, akitoa wito wa kuwajibishwa maafisa wa serikali ya nchi hiyo waliohusika na mauaji ya mamia ya watu na kujeruhiwa maelfu ya waandamanaji katika maandamano ya hivi karibuni dhidi ya serikali.

  • Kuongezeka chuki dhidi ya Uislamu nchini Uingereza

    Kuongezeka chuki dhidi ya Uislamu nchini Uingereza

    Aug 06, 2024 04:27

    Taasisi ya Tell Mama inayofuatilia hisia za chuki dhidi ya Uislamu nchini Uingereza kwa mara nyingine tena imehtahadharisha kuhusu vitendo vya kuibua na kutia hofu vinavyofanywa na watu wenye siasa kali za mrengo wa kulia dhidi ya Waislamu nchini humo.

  • Erdogan: Mauaji ya Haniyeh ni kitendo kiovu, mfumo wa dunia umefilisika

    Erdogan: Mauaji ya Haniyeh ni kitendo kiovu, mfumo wa dunia umefilisika

    Aug 05, 2024 23:27

    Rais wa Uturuki, Recep Erdogan, alisema jana Jumatatu kwamba mauaji ya kigaidi yaliyofanywa na Israel dhidi ya Ismail Haniyeh, mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas), ni kitendo kiovu ambacho kimetikisa dhamiri za walimwengu, akisisitiza kwamba mfumo wa kimataifa umefilisika mbele ya kile kinachotokea katika Ukanda wa Gaza.

  • Independent: Nini kinatokea Uingereza? Waislamu wanadungwa visu, misikiti imezingirwa

    Independent: Nini kinatokea Uingereza? Waislamu wanadungwa visu, misikiti imezingirwa

    Aug 05, 2024 23:26

    Gazeti la The Independent linalochalishwa nchini Uingereza limeripoti kuwa ghasia katika miji kama vile Liverpool, Leeds na Belfast ziligeuka kuwa machafuko makubwa mwishoni mwa juma, wakati watu wenye siasa kali za mrengo wa kulia walipopigana na polisi wa kutuliza ghasia, huku kukiripotiwa matukio mengi ya mashambulizi dhidi ya kaumu za waliowachache hususan Waislamu katika mitaa ya miji kadhaa ya nchi hiyo.

  • Waziri Mkuu wa Bangladesh ajiuzulu, akimbia nchi,  jeshi kuunda serikali

    Waziri Mkuu wa Bangladesh ajiuzulu, akimbia nchi,  jeshi kuunda serikali

    Aug 05, 2024 09:03

    Waziri Mkuu wa Bangladesh Sheikh Hasina amejiuzulu na kutoroka nchi huku kukiwa na maandamano makali dhidi ya sera za serikali na utawala wake wa muda mrefu.

  • Machafuko yanaendelea nchini Uingereza

    Machafuko yanaendelea nchini Uingereza

    Aug 05, 2024 02:31

    Miji kadhaa ya Uingereza imekuwa uwanja wa ghasia za mitaani na makabiliano kati ya polisi na wafuasi wa makundi ya mrengo wa kulia na vile vile wapinzani na watu wenye chuki dhidi ya wahajiri wa Kiiislamu.