-
Venezuela, mwathirika mpya wa sera inayojikariri ya Marekani
Jan 03, 2026 13:24Tangazo la Rais Nicolás Maduro la kuwa tayari kufanya mazungumzo na Marekani limejibiwa chini ya saa 24 baadaye kwa mashambulizi makali ya kijeshi dhidi ya Caracas, huu ukiwa ni mtindo unaokaririwa wa viongozi wa Washington.
-
Marekani yathibitisha kumkamata Rais Maduro wa Venezuela
Jan 03, 2026 10:59Rais Donald Trump wa Marekani amethibitisha kuwa nchi yake imemkamata mwenzake wa Venezuela Nicolas Maduro.
-
Chuki dhidi ya Waislamu yaongezeka Australia baada ya shambulio la Bondi
Jan 03, 2026 06:01Afisa mmoja wa Australia ametoa tahadhari kuhusu ongezeko la chuki dhidi ya Waislamu tangu kujiri shambulio la Bondi mwezi uliopita, ambalo lililenga jamii ya Wayahudi wa nchi hiyo katika tamasha la Hanukkah.
-
Kwa nini Marekani imepoteza nafasi yake ya kimataifa?
Jan 03, 2026 02:38Gazeti la The Wall Street Journal limeandika katika ripoti yake kwamba: "Marekani imepoteza hadhi yake ya kimataifa kwa kiasi kikubwa katika miaka 25 ya kwanza ya karne ya 21, kutokana na utawala mbaya, vita vya gharama kubwa na migogoro ya ndani."
-
Denmark: Tutasimama kidete dhidi ya mpango wa Trump kwa Greenland
Jan 02, 2026 10:13Waziri Mkuu wa Denmark, Mette Frederiksen amepinga vikali juhudi mpya za Marekani za kuinunua Greenland, akitoa hotuba kali dhidi ya mpango huo, huku mvutano wa kidiplomasia baina ya pande mbili hizo ukipamba moto.
-
Tatizo Kubwa la Mwaka Mpya duniani ni Trump
Jan 02, 2026 06:53Gazeti moja la nchini Uingereza limeufungua mwaka mpya wa 2026 kwa ripoti kuhusu wasiwasi juu ya hali ya mashindano ya Kombe la Dunia ya mpira wa miguu mwaka huu 2026 na kusema kuwa rais wa Marekani Donald Trump ni tatizo kubwa kwa mashindano hayo.
-
Wanajeshi wa Marekani washambulia meli 5 na kuuwa watu 8 huku mvutano kati ya US na Venezuela ukishtadi
Jan 01, 2026 10:56Jeshi la Marekani limeanzisha mashambulizi mapya dhidi ya boti zinazodaiwa kuwa zimehusika na magendo ya dawa za kulevya, huku mvutano kati ya Wahington na Venezuela ukipamba moto.
-
Ujumbe wa wazi kutoka Russia kwa Marekani na Israel; sitisheni vitisho dhidi ya Iran
Jan 01, 2026 10:16Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amekosoa vikali vitisho vya Marekani na utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran, na kusema jamii ya kimataifa inapinga sera hizo za vitisho.
-
Al-Azhar: Wanawake Waislamu ndio waathiriwa wakuu wa ubaguzi barani Ulaya
Jan 01, 2026 09:56Taasisi ya Kiislamu ya Al-Azhar nchini Misri imeonya kuhusu mashaka yanayowapata wanawake Waislamu barani Ulaya kutokana na ubaguzi.
-
Mamdani ala kiapo cha Umeya wa New York kwa kutumia Msahafu wa kihistoria wa karne 2 nyuma
Jan 01, 2026 07:12Zohran Mamdani leo amekuwa Meya wa kwanza wa Jiji kubwa zaidi la Marekani la New York kuapishwa kwa kutumia Kitabu kitakatifu cha Qur'ani ya Msahafu mkongwe na wa kihistoria wa tangu karne mbili zilizopita.