-
Trump, rais wa kwanza wa zamani Marekani kuhukumiwa katika kesi ya jinai
Apr 16, 2024 03:37Kesi ya Donald Trump katika mashtaka ya jinai ilianza jana, Jumatatu, mjini New York na kumfanya kuwa rais wa kwanza wa zamani wa Marekani kufika mbele ya mahakama ya jinai kujibu mashtaka yanayohusiana na kulipa pesa kwa mwigizaji wa filamu za ngono ili kumnyamazisha na kumtaka afiche uhusiano wake wa kingono na mwanamke huyo.
-
Mienendo ya chuki dhidi ya Uislamu yaongezeka nchini Ujerumani
Apr 16, 2024 03:15Vyombo vya habari vya Ujerumani, vimenukuu ripoti zilizochapishwa na serikali ya nchi hiyo, na kuripoti kuwa uhalifu dhidi ya Waislamu nchini humo uliongezeka mwaka 2023 ikilinganishwa na miaka ya kabla yake.
-
Russia yakumbwa na mafuriko; nyumba zaidi ya elfu 15 zazama majini
Apr 15, 2024 23:22Maafisa wa Russia wa Idara ya Kukabiliana na Majanga ya Kimaumbile wameeleza kuwa idadi ya nyumba zilizozama kutokana na mafuriko nchini humo imepindukia 15,000.
-
Ramaphosa: Kama Israel haitodhibitiwa, vita vya Ghaza vinaweza kuenea ukanda mzima
Apr 15, 2024 22:44Rais wa Afrika Kusini kwa mara nyingine ameonya kuhusu hatari ya vita vya Ghaza na kuendelea jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wasio na hatia akisisitiza kuwa kama Israel haitodhibitiwa, basi vita hivyo vinaweza kuenea katika nchi zote za eneo hili.
-
Bunge la Marekani laionya Washington isijiingize kwenye vita vya kijeshi na Iran
Apr 15, 2024 22:43Mkuu wa Kamati ya Kijasusi ya Bunge la Marekani amewaonya viongozi wa Washington kuhusu matokeo mabaya ya kujiingiza katika hatua yoyote ya kijeshi inayoweza kuchukuliwa dhidi ya Iran.
-
Mwakilishi wa Russia UN: Baraza la Usalama linafanya kazi kinafiki
Apr 15, 2024 10:12Mwakilishi wa Russia katika Umoja wa Mataifa amekitaja kikao cha dharura cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusiana na jibu la makombora na ndege zisizo na rubani la Iran dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa ni msimamo wa kinafiki na hadaa wa nchi za Magharibi.
-
Russia yakosoa kimya cha Baraza la Usalama baada ya shambulio la Israel katika ubalozi mdogo wa Iran, Syria
Apr 15, 2024 00:58Russia imekosoa hatua ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ya kushindwa kuchukua hatua inayofaa baada ya utawala wa Israel kushambulia jengo la ubalozi mdogo wa Iran huko Damascus mji mkuu wa Syria.
-
Maelezo kuhusu baadhi ya silaha zilizotumiwa na Iran dhidi ya Israel
Apr 14, 2024 04:45Jumamosi mida ya saa tano usiku kwa saa za Iran au nne na nusu usiku kwa saa za Afrika Mashariki, kitengo cha anga cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kilianzisha rasmi operesheni ya kulipiza kisasi dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel, na kuanzisha mawimbi manne ya mashambulizi ya ndege zisizo na rubani.
-
Katika barua kwa Papa, Erdogan ataka Ubinadamu ukomeshe ukiukaji zaidi wa sheria unaofanywa Ghaza
Apr 13, 2024 23:02Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki ametoa wito kwa watu duniani kote kuzungumza dhidi ya mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya hospitali, skuli, misikiti na makanisa katika Ukanda wa Ghaza, Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Ombi la Rais wa Marekani kwa Iran: Msiishambulie Israel
Apr 13, 2024 08:39Rais wa Marekani kwa mara nyingine tena, katika uingiliaji wa wazi na kuunga mkono utawala wa Israel, ameiomba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran isijibu mashambulizi ya utawala huo kwenye ubalozi mdogo wa Iran mjini Damascus huko Syria.