-
Putin: 'Ni upuuzi tu' kudai kwamba Russia inapanga kuishambulia kijeshi NATO
Mar 28, 2024 06:38Rais Vladimir Putin wa Russia amesema, nchi yake haina nia ya kuingia kwenye makabiliano ya kijeshi na vibaraka wa Marekani wa Ulaya Mashariki.
-
Kaboni nyeusi; sio tu inachafua mazingira, lakini pia inasababisha ongezeko la joto duniani
Mar 28, 2024 03:28Kaboni nyeusi imetajwa kusababisha ongezeko la joto kwa wati zisizopungua 0.6 kwa kila mita mraba moja katika uso wa dunia. Haya yamebainishwa na Mhadhiri wa masuala ya uhandisi wa mazingira katika Chuo Kikuu cha Istanbul Uturuki.
-
Ripota wa UN: Nilitishwa kwa sababu ya ripoti yangu kuhusu mauaji ya kimbari huko Gaza
Mar 28, 2024 03:19Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu katika ardhi za Palestina, Francesca Albanese, amesema kuwa amekuwa akikabiliwa na mashambulizi na kupokea vitisho vingi tangu alipoanza kazi yake ya kuandaa ripoti kuhusu jinai zinazofanywa na Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Ireland 'kuingilia kati' kesi ya mauaji ya kimbari ya Afrika Kusini dhidi ya Israel
Mar 27, 2024 23:40Ireland imetangaza kwamba "itaingilia" katika kesi ya mauaji ya kimbari iliyoanzishwa mwishoni mwa mwaka jana na Afrika Kusini katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) dhidi ya utawala wa Israel, kutokana na vita vya miezi kadhaa vya mauaji ya halaiki kwenye Ukanda wa Gaza.
-
Wachunguzi wa Russia kujadili ombi la kuchunguza kuhusika Magharibi katika ugaidi
Mar 27, 2024 08:55Wachunguzi wa serikali ya Russia leo wameeleza kuwa watajadili ombi lililowasilishwa na wabunge waliotaka kuchunguzwa kile walichokiita kama "taasisi, ufadhili na vitendo vya ugaidi vinavyofanywa na Marekani na nchi nyingine za Magharibi dhidi ya Russia."
-
Kutolewa pendekezo la kuanzisha klabu ya nyuklia ya BRICS kwa kuishirikisha Iran
Mar 27, 2024 08:51Mkutano wa 13 wa kimataifa wa Atomexpo 2024 huko Sirius, Russia umetoa pendekezo la kuasisi klabu ya nyuklia ya nchi wanachama wa kundi la BRICS kwa kuishirikisha Iran.
-
Ulimwengu waunga mkono ripoti ya UN kuhusu mauaji ya kimbari ya Israel Ukanda wa Gaza
Mar 27, 2024 08:36Tathmini iliyofanywa na Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Palestina ambayo imezitaja jinai za utawala wa Kizayuni huko Ukanda wa Gaza kuwa ni mauaji ya kimbari imeungwa mkono pakubwa na nchi mbalimbali katika umoja huo.
-
Soda ya 'Palestine Cola' yazinduliwa, mashirika ya Magharibi yaendelea kususiwa
Mar 26, 2024 22:38Ndugu wawili wa Kipalestina wamezindua soda waliyoipa jina la 'Palestine Cola' na kusema kuwa, faida zote zitakazotokana na mauzo ya kinywaji hicho zitawaendea Wapalestina.
-
Moscow: EU imekiri kuwa inahudumia ubeberu wa Marekani
Mar 26, 2024 22:37Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema matamshi ya karibuni ya Josep Borrell, Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya ni ungamo la Magharibi kwamba inajihusisha na mgogoro wa Ukraine ili kuisaidia Marekani kudumisha nafasi yake ya ubeberu duniani.
-
Guterres atoa wito kwa nchi za Magharibi kulipa fidia Waafrika kutokana na biashara ya utumwa
Mar 26, 2024 07:22Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito wa kulipwa fidia watu waliosafirishwa kwa njia haramu kama watumwa kutoka Afrika hadi katika nchi za Bahari ya Atlantiki.