Serikali ya Kenya: Tuko imara katika ugatuzi
Feb 13, 2016 03:07 UTC
Serikali ya Kenya imesisitiza kwamba kwamba ipo imara kuimarisha ugatuzi kinyume na madai yanayotolewa na wapinzani.
Msimamo huo wa serikali ya Kenya umekuja baada ya wapinzani kudai kwamba nia ya serikali ya Kenya ni kuuangamiza ugatuzi, hasa kwa kuzingatia kuwa, Makamu wa Rais wa Kenya William Ruto kuwa katika mrengo uliopinga katiba mpya iliyozaa serikali za majimbo.
Ingia kwenye picha hapo juu kupata ripoti ya mwandishi wa Radio Tehran, wa mjini Mombasa Kenya.
Tags