-
Katibu Mkuu wa UN: Lazima Afrika iwe na sauti na iweze kunufaika na rasilimali zake
Feb 14, 2026 06:26Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ametoa wito mkali wa kuhakikisha haki na mageuzi yanatekelezwa na kuimarishwa ushirikiano wa kimataifa, huku akiutaja Umoja wa Afrika AU, kama “kinara wa ushirikiano wa kimataifa katika dunia iliyogawanyika”.
-
Rais Xi Jinping wa China: Tutaziondolea ushuru nchi za Afrika ifikapo mwezi Mei
Feb 14, 2026 06:25Rais Xi Jinping wa China ametangaza kuwa, nchi yake itaziondolea ushuru nchi zingine za Afrika ifikapo mwezi Mei mwaka huu.
-
Algeria yaanza operesheni ya kwanza ya kusafisha maeneo ya majaribio ya nyuklia ya Ufaransa
Feb 14, 2026 02:52Algeria jana Ijumaa ilianza kusafisha baadhi ya maeneo ya majaribio ya silaha za nyuklia yaliyofanywa na Ufaransa katika jangwa la nchi hiyo katika kipindi cha ukoloni, miaka ya 1960.
-
UN yaituhumu RSF kuwa imefanya "uhalifu wa kivita" huko El Fasher
Feb 14, 2026 02:50Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema kwamba uhalifu unaofanywa na wapiganaji wa kundi la Rapid Support Forces (RSF) huko El Fasher nchini Sudan ni sawa na uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinadamu.
-
Machungu ya ukoloni; safari za kifo na jinai za kikatili za Ufaransa nchini Madagascar
Feb 13, 2026 22:48Madagascar, kisiwa kikubwa zaidi barani Afrika na makao ya jamii ya Malagasy, iliingia katika moja ya vipindi vya giza zaidi katika historia yake mwishoni mwa karne ya 19.
-
Kenya kufungua tena mpaka wake na Somalia baada ya kufungwa kwa miaka 15
Feb 13, 2026 07:18Rais wa Kenya William Ruto ametangaza kuwa Kenya itafungua tena mpaka wake na Somalia mwezi Aprili, baada ya kufungwa kwa muda wa miaka 15 kufuatia mashambulizi ya mara kwa mara ya kigaidi. Hatua hiyo inaashiria jaribio jipya la kurejesha harakati za mpakani na kuimarisha ushirikiano wa kikanda.
-
Umoja wa Afrika wapongeza mapatano ya kusitisha vita kati ya Serikali ya DRC na waasi wa M23
Feb 13, 2026 07:02Tume ya Umoja wa Afrika (AU) imekaribisha kutiwa saini kwa kanuni za marejeo ya mfumo wa kusitisha mapigano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na muungano wa waasi wa AFC/M23.
-
Takriban watu 21 wameaga dunia baada ya boti kuzama katika Mto Nile, Sudan
Feb 13, 2026 03:50Takriban watu 21 wamekufa maji wakati boti iliyokuwa ikiwasafirisha ilipozama katika Mto Nile kaskazini mwa Sudan.
-
Mashambulizi ya droni ya wanamgambo wa RSF yaua watu 2 na kujeruhi 4 Kordofan, Sudan
Feb 13, 2026 03:50Mashambulizi ya ndege zisizo na rubani (droni) za wanamgambo wa kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) yameuwa raia wawili na kujeruhi wanne katika jimbo la Kordofan Kusini. Haya yamebainishwa jana Mtandao wa Madaktari wa Sudan.
-
Afrika Kusini: Ramaphosa atangaza kutumwa jeshi kukabiliana na jinai
Feb 13, 2026 03:49Katika jitihada za kupunguza viwango vya juu vya magenge ya uhalifu na jinai nyingine, Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ametangaza kuwa atatuma jeshi ili kushirikiana na polisi katika suala hilo.