-
Siku ya Taifa ya Teknolojia ya Nyuklia; nembo ya nguvu na heshima ya wanasayansi wa Iran
Apr 09, 2024 02:32Kutangazwa tarehe 20 Farvardin (tarehe 8 Aprili) katika kalenda ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa ni Siku ya Taifa ya Teknolojia ya Nyuklia ni matunda ya jitihada zisizosita za wanasayansi wa Iran katika kuliletea taifa lao maendeleo ya nyuklia, sekta ambayo kila leo inakuja na mafanikio mapya.
-
Watoto ndio wahanga wakuu wa vita vya Gaza
Apr 08, 2024 22:48Katika siku za hivi karibuni vyombo tofauti vya Umoja wa Mataifa vimechapisha ripoti mpya kuhusu kuharibika zaidi hali ya kibinadamu huko Gaza hususan ya watoto, jambo ambalo linaifanya kadhia ya jinai za kivita za jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel kupata uzito zaidi.
-
Wimbi la kimataifa la kuwaunga mkono watu wa Gaza
Apr 08, 2024 04:14Kufanyika Mkutano wa Kimataifa wa Kimbunga cha Al-Aqsa huko Kuala Lumpur, mji mkuu wa Malaysia kwa kuhudhuriwa na makumi ya asasi zisizo za kiserikali, wasomi, wanafikra, mwakilishi maalum wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na nchi kadhaa za Asia, kunaoneysha wimbi kubwa la uungaji mkono wa kimataifa kwa wananchi wanaodhulumiwa wa Ghaza dhidi ya jinai za utawala wa Kizayuni.
-
Kwa nini jamii ya kimataifa imeshindwa kuzuia mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza
Apr 08, 2024 01:05Kutokuwa na uwezo jamii ya kimataifa wa kusimamisha mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza kumekosolewa vikali kimataifa.
-
Kuongezeka mashinikizo dhidi ya serikali ya Biden kwa ajili ya kupungaza uungaji mkono wake kwa utawala wa Kizayuni
Apr 07, 2024 03:37Kuendelea vita vya Ghaza na jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wasiokuwa na hatia wa eneo hilo na hasa mauaji ya kimbari na utumiaji njaa kama silaha, kumezidisha mashinikizo ya ndani kwa serikali ya Biden ya kumtaka apunguze uungaji mkono wake kwa Tel Aviv, na wakati huo huo, kuongeza pia tofauti kati ya Ikulu ya White House na Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni.
-
Kiwewe cha Wazayuni wakisubiri jibu la kijeshi la Iran kutokana na jinai zao
Apr 06, 2024 22:56Utawala wa Kizayuni umesema una wasiwasi na jibu liltakalotolewa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kufuatia jinai za karibuni iliyofanywa na utawala huo ya kuishambulia sehemu ya jengo la ubalozi dogo wa Iran huko Syria. Kwa kuhofia jibu la kijeshi la Iran, utawala wa Kizayuni umetoa amri ya kufungwa balozi zake katika maeneo mbalimbali duniani.
-
Siku ya Quds ya aina yake; Kimbunga cha al Ahrar dhidi ya utawala dhalimu wa Kizayuni
Apr 06, 2024 05:51Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds mwaka huu yamekuwa tofauti sana ikilinganishwa na miaka iliyopita; ambapo wananchi katika nchi mbalimbali duniani wameshiriki kwa wingi katika maadhimisho hayo ikiwemo hapa nchini Iran.
-
Mtazamo wa wachambuzi wa mambo kuhusu mashambulio ya kigaidi kusini mashariki mwa Iran
Apr 06, 2024 03:39Mkoa wa Sistan na Baluchistan wa kusini mashariki mwa Iran, kwa mara nyingine tena umekumbwa na mashambulizi ya kigaidi yaliyofanywa na genge linaloungwa mkono na utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani.
-
Shambulizi dhidi ya watoa misaada wa kimataifa, uthibitisho wa Israel kutumia njaa kama silaha chafu
Apr 06, 2024 00:52Jeshi katili na la kigaidi la utawala wa Kizayuni limeendeleza jinai zake kwa kutumia silaha chafu ya kuwatesa kwa njaa watu wa Ghaza kupitia kushambulia hata wafanyakazi wa taasisi na mashirika maarufu ya kibinadamu duniani.
-
Siku ya Quds; ubunifu wa kimataifa na mojawapo ya mifano ya kihistoria ya uungaji mkono wa Iran kwa Palestina
Apr 04, 2024 22:47Siku ya Kimataifa ya Quds ni ubunifu wa kwanza ulioonyeshwa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika uga wa siasa za nje mara tu baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.