-
Kurefushwa hali ya hatari kitaifa; muendelezo wa mtazamo wa uadui wa Marekani dhidi ya Iran
Mar 14, 2024 23:17Siku ya Jumanne, Rais Joe Biden wa Marekani alirefusha kwa mwaka mwingine mmoja, muda wa hali ya hatari ya kitaifa kuhusu Iran. Tangu 1995, marais wote wa Marekani wamekuwa wakirefusha kila mwaka hali hiyo iliyoanza kutekelezwa kupitia Agizo la Utendaji nambari 12957 dhidi ya Iran.
-
Hali mbaya ya mateka wa Kipalestina katika jela za Kizayuni
Mar 14, 2024 03:07Katika taarifa yake, Klabu ya Mateka wa Palestina imetahadharisha kuhusu hali mbaya ya mateka hao wanaoshikiliwa katika jela za utawala wa kibaguzi wa Israel.
-
Mazoezi ya pamoja kati ya Iran, Uchina na Russia katika Bahari ya Oman
Mar 13, 2024 23:02Kufanyika mazoezi ya pamoja ya majeshi ya majini ya Iran, China na Russia katika Bahari ya Oman kunaonyesha kuimarika ushirikiano wa kimkakati wa kijeshi na kiulinzi kati ya nchi hizi tatu muhimu duniani.
-
Makubaliano ya viongozi wa Libya ya kuunda serikali moja mpya
Mar 13, 2024 04:08Kuendelea mgogoro nchini Libya na kuwa vigumu suala la kufanyika uchaguzi nchini humo hatimaye kumepelekea viongozi wa Libya kukubaliana kuunda serikali moja ambayo itakuwa na jukumu la kusimamia uchaguzi nchini humo.
-
Kuendelea himaya ya Marekani kwa Israel; kuongezeka mashahidi wa Kipalestina katika anga ya uhaba wa chakula na dawa
Mar 12, 2024 22:40Kuendelea jinai za utawala wa Kizayuni katika kivuli cha uungaji mkono wa Marekani kwa utawala huo na kufungwa njia za kufikisha misaada na kuingia chakula na dawa katika Ukanda wa Gaza kumesababisha kuongezeka la idadi ya mashahidi wa Palestina.
-
Kushadidi mivutano baina ya vyama vya upinzani na Baraza la Mawaziri la Israel
Mar 12, 2024 02:24Yair Lapid, kiongozi wa chama cha upinzani cha Yesh Atid amekiri juu kushadidi hitilafu na mizozo ya ndani baina ya vyama vya upinzani na Baraza la Mawaziri la utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Tume ya kutafuta ukweli; wenzo wa kisiasa unaotumiwa na Magharibi dhidi ya Iran
Mar 11, 2024 23:03Tume ya Umoja wa Mataifa ya kutafuta ukweli imetoa ripoti yake yenye tuhuma hewa na zisizo na msingi dhidi ya Iran, na kuonyesha kwa mara nyingine tena jinsi Wamagharibi wanaojinasibu kuwa watetezi wa haki za binadamu wanavyozitumia nyenzo za kimataifa kufikia malengo yao ya kisiasa.
-
Sisitizo la Rais wa Chile na Waziri Mkuu wa Uhispania la kutekelezwa usitishaji vita haraka huko Ghaza
Mar 11, 2024 04:17Waziri Mkuu wa Uhispania na Rais wa Chile, pamoja na kulaani mashambulizi ya jeshi la Israel huko Ghaza, wametaka kusitishwa mara moja mapigano hayo.
-
Kufutwa akaunti za mitandao ya kijamii za Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi, kielelezo cha uhasama wa Magharibi dhidi ya uhuru wa kusema
Mar 11, 2024 00:52Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema, hatua ya Shirika la Kimarekani la "Meta" (Facebook ya zamani) ya kufuta akaunti za mitandao ya kijamii za Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ni kielelezo cha uhasama na uadui wa Magharibi dhidi ya uhuru wa kusema na kutoa maoni.
-
Kukosolewa propaganda za Marekani kuhusiana na misaada ya kibinadamu
Mar 10, 2024 07:50Akihutubia bunge la Marekani siku ya Alkhamisi, Rais Joe Biden alisema ameliamuru jeshi la nchi hiyo kuweka bandari kwenye pwani ya Gaza katika Bahari ya Mediterania.