-
Msimamo wa Hamas kuhusu ukwamishaji wa utawala wa Kizayuni katika mazungumzo ya Cairo
Mar 09, 2024 23:19Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imejiondoka katika mazungumzo ya kusitisha vita mjini Cairo, ikiwa ni jibu lake kwa hatua za ukwamishaji za utawala wa Kizayuni.
-
Juhudi za Afrika Kusini za mashinikizo zaidi ya kimataifa dhidi ya utawala wa Kizayuni
Mar 09, 2024 04:05Kufuatia kuendelea jinai za Israel dhidi ya Wapalestina, Afrika Kusini imewasilisha ombi la dharura katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki ICJ, ikiitaka korti hiyo ya Umoja wa Mataifa ichukue hatua zaidi za dharura dhidi ya Israel, ikisisitiza kuwa utawala huo wa Kizayuni umeendelea kupuuza amri iliyotolewa na chombo hicho cha sheria.
-
Kutangazwa tarehe ya kufanyika uchaguzi wa Rais nchini Venezuela
Mar 08, 2024 23:26Baada ya kuzingatia mapendekezo mbalimbali ya wabunge na makundi ya upinzani, hatimaye Baraza la Taifa la Uchaguzi la Venezuela limeitangaza Julai 28, 2024 ambayo ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa Hugo Chávez, Rais wa zamani wa nchi hiyo kuwa siku ya kufanyika uchaguzi wa urais.
-
Hofu ya Wazayuni ya kuibuka Intifadha nyingine Palestina
Mar 08, 2024 05:00Utawala wa Kizayuni wa Israel una wasi wasi mkubwa wa kuanzishwa Intifadha (mwamko) nyingine ya Palestina katika hali ambayo hauna nguvu na umeonyesha udhaifu mkubwa mkabala wa operesheni ya kimbunga cha Al-Aqsa na makundi ya mapambano ya ukombozi wa Papalestina.
-
Kusambaratishwa mtandao mwingine wa kijasusi wa Israel huko Uturuki
Mar 07, 2024 22:50Utawala wa kibaguzi wa Israel bado unaendeleza operesheni zake za kijasusi dhidi ya Waislamu wa Uturuki.
-
Wagonjwa wa ngozi ya kipepeo (EB), waathiriwa wa vikwazo vya Marekani
Mar 07, 2024 06:18Jumatano ya jana, Mahakama ya Hata ya Uhusiano wa Kimataifa ya Tehran iliamuru kukamatwa shehena ya mafuta ya Marekani katika maji ya Ghuba ya Uajemi, na shehena ya meli hiyo sasa imekamatwa na vyombo husika vya Iran.
-
Matokeo ya miezi 5 ya vita dhidi ya Gaza
Mar 06, 2024 22:59Miezi 5 ya vita dhidi ya Ukanda wa Gaza ambavyo vilikuwa havijawahi kushuhudiwa tena imekuwa na matokeo mbalimbali katika ngazi ya ndani, kikanda na kimataifa.
-
Ukosoaji wa UN wa mashambulizi ya makusudi ya Israel dhidi ya misafara ya misaada huko Gaza
Mar 06, 2024 08:01Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Haki ya Chakula ametangaza kwamba, jeshi la Israel linashambulia kwa makusudi misafara ya misaada ya kibinadamu huko Gaza licha ya kujua njia za misafara hiyo.
-
Indhari ya asasi za kimataifa kuhusu kushtadi njaa na umasikini nchini Afghanistan
Mar 05, 2024 22:44Kupungua kwa misaada ya kimataifa nchini Afghanistan kumepelekea kushadidi umaskini na njaa katika nchi hiyo.
-
Kuongezeka uungaji mkono wa wananchi wa Marekani kwa Wapalestina
Mar 05, 2024 04:12Matokeo ya uchunguzi wa maaoni uliofanywa na jarida la Wall Street Journal yanaonyesha kuwa, wananchi wengi wa Marekani hawaridhishwi na utendaji kazi wa Rais Joe Biden katika vita vya Gaza.