-
Uchaguzi wa Iran ni ishara ya umuhimu wa masanduku ya kura na ushiriki wa wananchi
Mar 05, 2024 01:44Kuhesabiwa kura za uchaguzi wa Awamu ya 12 ya Majlisi ya Ushauri wa Kiisalmu (Bunge la Iran) na uchaguzi wa Awamu ya Sita ya Baraza la Wanazuoni Wataalamu wanaomchagua Kiongozi Muadhamu kumemalizika kufuatia kushiriki kwa wingi wananchi katika duru hii ya uchaguzi.
-
Kimya cha taasisi za kimataifa kuhusu kuendelea jinai za utawala wa Kizayuni huko Ghaza.
Mar 04, 2024 04:34Licha ya kuendelea mgogoro wa Ukanda wa Ghaza na kushadidi jinai za utawala ghasibu wa Israel dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina, lakini Umoja wa Mataifa na taasisi zinazohusiana na umoja huo hadi sasa zimeshindwa kuchukua hatua mahimu katika kutetea haki za Wapalestina.
-
Kuongezeka mgawanyiko katika Baraza la Mawaziri la Vita la utawala wa Kizayuni kutokana na safari ya Gantz nchini Marekani
Mar 03, 2024 22:58Safari ya Benny Gantz, mmoja wa wajumbe wa Baraza la Mawaziri la Vita la utawala wa Kizayuni huko Marekani imekosolewa vikali na Benyamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala huo.
-
Azma ya Iran ya kupanua uhusiano na bara la Afrika
Mar 03, 2024 08:31Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Jana Jumamosi aliwasili Algeria akiongoza ujumbe wa kiuchumi na kisiasa kwa ajili ya kuimarisha ushirikiano na asasi na jumuiya za kikanda na kimataifa, na pia kupanua uhusiano na nchi za bara la Afrika.
-
Ushindi wa mtetezi wa Palestina katika uchaguzi wa Bunge la Uingereza na onyo kali la Sunak
Mar 02, 2024 22:45Licha ya kuwa Uingereza inahesabiwa kuwa ni miongoni mwa waungaji mkono wakuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, lakini mielekeo ya kisiasa na kijamii inaashiria kwamba waungaji mkono wa Wapalestina wanazidi kupata nguvu katika nchi hiyo ya Ulaya, suala ambalo limeibua onyo la Waziri Mkuu wa kihafidhina wa Uingereza, Rishi Sunak.
-
Ushiriki wa Wairani katika uchaguzi, jibu kwa misimamo ya uingiliaji kati hasi ya Merekani
Mar 02, 2024 10:11Kushiriki kwa wananchi wa Iran katika uchaguzi wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge) na Baraza la Wataalamu Wamaomchagua Kiongozi Mkuu, kwa mara nyingine tena, kumezima njama za wapinzani wa Jamhuri ya Kiislamu wakiongozwa na Marekani, za kuwakatisha tamaa wananchi ili wasishiriki katika upigaji kura.
-
Masharti ya makundi ya muqawama ya Palestina kuhusu mazungumzo ya kusimamisha vita
Mar 01, 2024 23:36Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ametoa ufafanuzi kuhusu masharti ya makundi ya muqawama katika mazungumzo ya kusimamisha vita na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Waziri wa Vita wa Israel akiri kuhusu hali ngumu ya utawala huo katika vita vya Gaza
Mar 01, 2024 03:37Yoav Gallant, Waziri wa Vita wa utawala wa kibaguzi wa Israel amekiri kuhusu hasara kubwa liliyopata jeshi la utawala huo katika vita vya Gaza na kusema, Wazayuni hawajawahi kukabiliwa na vita kama hivyo kwa muda wa miaka 75 iliyopita.
-
Kuchaguliwa wagombea wanaofaa, mdhamini wa maslahi ya taifa
Feb 29, 2024 22:58Sambamba na kufanyika leo tarehe Mosi Machi uchaguzi wa awamu ya kumi na mbili ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu na awamu ya sita ya Baraza la Wataalamu Wanaomchagua Kiongozi Muadhamu, suala la kuchagua wagombea wanaofaa ni moja ya nukta muhimu ambazo zimekuwa zikitiliwa mkazo na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika uchaguzi huu na chaguzi nyingine zote zilizopita.
-
Ukosoaji wa Iran kwa Baraza la Usalama la UN kwa kutochukua hatua kuhusiana na mauaji ya kimbari ya Wapalestina wa Ghazza
Feb 29, 2024 03:44Tangu ilipoanza duru mpya ya mauaji ya kimbari ya Wapalestina yanayofanywa na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Ghazza, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa ikitumia kila fursa inayopata kulaani jinai za utawala huo ghasibu na kutaka mashambulizi ya kinyama yanayofanywa dhidi ya Wapalestina yakomeshwe.