-
Kukiri Borrell juu ya mwisho wa udhibiti wa Magharibi duniani kutokana na vita vya Ukraine na Gaza
Feb 28, 2024 23:00Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amekiri kuwa udhibiti wa nchi za Magharibi duniani umeyoyoma na kumalizika baada ya kuanza operesheni maalumu ya kijeshi ya Russia huko Ukraine na vita Israel huko Ukanda wa Gaza
-
Usalama kwenye uchaguzi; mafanikio muhimu ya kisiasa ya Iran
Feb 28, 2024 06:37Moja ya mafanikio na matunda muhimu zaidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kipindi cha miaka 45 iliyopita ni kufanyika chaguzi 39 katika mazingira salama na ya amani kamili.
-
Kukua uchumi wa Iran licha ya kuandamwa na vikwazo
Feb 27, 2024 23:19Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limetangaza kuwa, uchumi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran umekuwa kwa kiwango ambacho haikutabiriwa
-
Kubainishwa misimamo ya Iran kuhusu haki za binadamu katika Mkutano wa Geneva
Feb 27, 2024 05:36Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewasilisha misimamo na mitazamo ya Iran kuhusu haki za binadamu katika mkutano wa 55 wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa mjini Geneva Uswisi.
-
Kauli moja ya mirengo ya kisiasa ya Iraq kuhusu wajibu wa kuondoka wanajeshi wa kigeni nchini mwao
Feb 26, 2024 23:01Qasim al-Araji, Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Iraq amesisitiza kuwa mirengo yote ya kisiasa ya nchi hiyo yanakubaliana kwa kauli moja kuhusu wajibu wa kuondoka wanajeshi wa kigeni nchini humo.
-
Kuendelezwa mauaji ya halaiki ya jeshi la Israel katika maeneo tofauti ya Ukanda wa Gaza
Feb 26, 2024 03:45Wapalestina wengine wameuawa shahidi kufuatia mashambulizi ya anga na mizinga ya jeshi katili la Israel linaloendeleza mauaji ya kimabari katika maeneo tofauti ya Ukanda wa Gaza.
-
Umuhimu wa kushiriki katika uchaguzi mkuu kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 25, 2024 23:34Ayatullah Khamenei, Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni miongoni mwa shakhsia mashuhuri ambao daima wanasisitiza juu ya ushiriki mkubwa wa wananchi katika chaguzi tofauti zinazofanyika nchini.
-
Ukuaji wa uchumi sambamba na kupungua mfumuko wa bei nchini Iran
Feb 25, 2024 04:21Ripoti mpya ya Kituo cha Takwimu cha Iran inaonesha kuwa, ukuaji wa uchumi uliendelea kuimarika katika robo ya tatu ya mwaka huu licha ya kutekelezwa sera za kudhibiti mfumuko wa bei nchini.
-
Kuvunjwa UNRWA; Mpango wa upotoshaji wa Netanyahu kwa ajili ya kuepa kushindwa
Feb 24, 2024 22:57Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amewasilisha kwa kile kilichotajwa kama Baraza la Mawaziri la Usalama la utawala huo mpango wa kulivunja Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada kwa ajili ya Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) ili kuepa taathira za kushindwa mbele ya makundi ya muqawama ya Palestina katika kipindi baada ya vita.
-
Mtazamo wa kiusalama wa maadui kuhusu uchaguzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Feb 24, 2024 05:49Ufuatiliaji na uchunguza wa mienendo na harakati za maadui kuhusu uchaguzi wa Machi Mosi nchini Iran unaonyesha kuwa wanautazama uchaguzi huo wa Bunge kwa mtazamo wa kiusalama.