-
Biashara ya dola bilioni 55 ya Iran yafelisha vikwazo vya maadui
Feb 23, 2024 22:42Thamani ya kiwango cha biashara baina ya Iran na nchi jirani imepindukia dola bilioni 55 ikiwa na maana kwamba, vikwazo vya upande mmoja vya Marekani vimefeli na vimeshindwa kuizuia Jamhuri ya Kiislamu kufikia malengo yake.
-
Idhini mpya ya Uingereza kwa Israel ya kuendeleza mauaji ya umati dhidi ya wananchi wa Palestina
Feb 23, 2024 04:57Uingereza ambayo ni moja ya waungaji mkono wakuu wa jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina sambamba na Ujerumani na Marekani, hivi sasa imetoa idhini mpya kwa Israel ya kuendeleza mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina hasa wa Ghazza. Madola hayo matatu ya Magharibi ndiyo yaliyoko mstari wa mbele katika kuusheheneza silaha hatari utawala wa Kizayuni ili uzidi kuua raia wa Palestina hasa wanawake na watoto wadogo.
-
Ukosoaji wa Qatar dhidi ya Israel; Rekodi mpya ya waandishi wa habari waliouawa Gaza
Feb 23, 2024 00:01Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Qatar, Lolwah Al-Khater, ameeleza masikitiko yake kwamba: Israel imeweka rekodi ya kushambulia na kuua waandishi wa habari.
-
"Hali ngumu" ya utawala wa Kizayuni katika vita na Hizbullah ya Lebanon
Feb 22, 2024 06:42Vyanzo vya habari vya Kiebrania vimeonya juu ya hali ngumu itakayoikabili Israeli ikiwa itaanzisha vita dhidi ya Lebanon na uwezekano wa kuangamia maelfu ya Waisraeli, kufuatia vitisho vya mara kwa mara vya maafisa wa Israeli dhidi ya Lebanon na Hizbullah.
-
Rais wa Brazil afananisha jinai za Israel na zile za Hitler wa Ujerumani
Feb 21, 2024 23:09Jinai zinazofanywa na Israel dhidi ya Wapalestina huko Gaza zinahesabiwa kuwa kubwa zaidi kuwahi kushuhudiwa katika miongo ya karibuni na aghalabu ya jinai hizo zimetajwa kuwa ni maangamizi ya kizazi huku zikilinganishwa na uhalifu ulizofanywa na Adolf Hitler, kiongozi Manazi wa Ujerumani, katika Vita vya Pili vya Dunia.
-
Radiamali zilizotolewa dhidi ya kura ya veto ya Marekani ya kupinga rasimu ya Azimio la Baraza la Usalama la kusitisha mapigano Ghaza
Feb 21, 2024 05:38Kutumia Marekani kura ya turufu dhidi ya rasimu ya Azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa la kusitisha mapigano Gaza kumekabiliwa na radiamali na mijibizo ya shakhsia na viongozi wengi duniani.
-
Matukio ya Magharibi mwa Asia; ajenda kuu ya mazungumzo ya Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na Saudi Arabia
Feb 20, 2024 22:48Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia wamejadili kuhusu matukio ya kieneo na kimataifa, vikiwemo vita vya Gaza na kuimarisha uhusiano wa simu.
-
Kuanza kusikilizwa na ICJ shauri kuhusu Israel kukalia kwa mabavu ardhi za Palestina
Feb 20, 2024 03:15Jumatatu ya jana tarehe 24 Februari 2024, Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), ilianza kusikiliza shauri la kihistoria la kuamua kuhusu uhalali wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wa kuzivamia na kuzikalia kwa mabavu ardhi za Palestina.
-
Mamlaka ya Palestina: Hamas ni sehemu muhimu ya medani ya siasa ya Palestina
Feb 19, 2024 22:53Waziri Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesisitiza kuwa, Harakati ya Mambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ni sehemu muhimu ya uwanja wa kisiasa wa Palestina.
-
Kulaaniwa utawala wa Kizayuni wa Israel katika mkutano wa Umoja wa Afrika
Feb 19, 2024 04:47Viongozi wa nchi za Kiafrika waliokutana mjini Addis Ababa, mji mkuu wa Ethiopia, wamelaani jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel huko Gaza na kutoa wito wa kusitishwa mara moja mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina.