-
Kuzinduliwa mifumo mipya ya makombora nchini Iran
Feb 19, 2024 01:03Katika kuendelea ustawi wa Jamhuri ya Kiislamu katika sekta ya makombora, mifumo dhidi ya makombora ya balestiki kwa jina la "Arman", na mfumo wa ulinzi wa anga ya juu wa Azarkhash, ambao uliundwa kwa juhudi za wataalamu wa Wizara ya Ulinzi ya Iran ulizinduliwa juzi Jumamosi.
-
Vitisho vipya vya wakosoaji wa Natenyahu; Kuvunjwa Baraza la Mawaziri la Vita
Feb 18, 2024 06:02Sambamba na Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni Benjamin Netanyahu kuendeleza tabia yake ya kujichukulia hatua za upande mmoja, wakosoaji wake wametishia kulivunja Baraza la Mawaziri la Vita la utawala huo.
-
Kuongezeka kasi ya kuachana na matumizi ya dola kwa wanachama wa kundi la BRICS
Feb 17, 2024 23:29Russia, China na India ambazo ni wanachama wa kundi la BRICS zimepunguza matumizi ya dola ya Marekani katika biashara zao kwa asilimia 95 kufuatia kuendelea mchakato wa kutupilia mbali matumizi ya sarafu ya hiyo ya Marekani.
-
Sababu za maadui wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kupiga upatu wa kuwachochea wananchi wasusie uchaguzi
Feb 17, 2024 05:54Wiki mbili zimebakia hadi kufanyika uchaguzi wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu na wa Baraza la Wanazuoni Wataalamu wanaomchagua Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu na kusimamia kazi zake. Jambo hilo limepelekea maadui wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuzidisha propaganda zao za kuwachochea wananchi wasusie uchaguzi huo.
-
Kuongezeka biashara isiyo ya mafuta kati ya Iran na nchi wanachama wa Shanghai
Feb 16, 2024 22:52Data zilizotangazwa na Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai zinaonyesha kuwa, kiwango cha biashara kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na nchi wanachama wa Jumuiya ya Shanghai kimeongezeka licha ya vikwazo vilivyopo.
-
Athari mbaya za kuendelea sera za vita za Marekani na Uingereza katika Bahari Nyekundu
Feb 16, 2024 04:42Marekani na Uingereza zinaendelea kuzua hali ya wasiwasi na vita katika Bahari Nyekundu licha ya pingamizi na maonyo ya wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Umoja wa Mataifa: Idadi ya raia waliouawa huko Gaza haijawahi kushuhudiwa
Feb 15, 2024 23:13Mkuu wa Kitengo cha Asia Magharibi katika Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema: Idadi ya raia na waandishi wa habari waliouawa huko Gaza haina mfano.
-
Sababu ya kumalizika mazungumzo ya Cairo kuhusu vita vya Gaza bila ya kuwa na tija yoyote
Feb 15, 2024 03:52Mazungumzo ya Cairo ya kujadili kadhia ya mateka wa Israel na Palestina kwa lengo la kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano katika vita vya Gaza yamemalizika bila ya kupatikana tija yoyote.
-
Iran ni miongoni mwa nchi 10 zinazoongoza duniani katika sekta ya bahari
Feb 14, 2024 23:00Naibu Waziri wa Barabara na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bandari na Bahari la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kila mwaka meli 40,000 hupita katika bandari za Iran na kuongeza kuwa, Iran ni miongoni mwa nchi 10 bora duniani katika sekta ya bahari.
-
Ombi la Afrika Kusini kwa Mahakama ya Kimataifa ya Haki kuhusu jinai za Israel katika mji wa Rafah, Gaza
Feb 14, 2024 10:28Serikali ya Afrika Kusini imesema imeiomba Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) kuzingatia iwapo uamuzi wa utawala wa Israel kupanua operesheni za kijeshi Gaza hadi mji wa huko Rafah utahitaji mahakama hiyo kutumia mamlaka yake kuzuia ukiukwaji zaidi wa haki za Wapalestina.