-
Msimamo wa Uingereza dhidi ya wahamiaji wa DRC; kwa nini London inashadidisha mashinikizo dhidi ya nchi za Kiafrika?
Dec 29, 2025 03:28Uingereza imeibua wimbi kubwa la mijibizo na malalamiko ya ndani na ya kimataifa kwa hatua yake ya kuweka vizuizi vya viza na kupitisha mageuzi makali kwa utoaji hifadhi ya ukimbizi.
-
China yaikosoa sera ya Marekani ya kulinda ubabe wake wa kijeshi kwa fitina
Dec 28, 2025 23:05China, katika ukosoaji ulio wazi dhidi ya Marekani, imetangaza kuwa Washington, kwa ajili ya kulinda ubabe wake wa kijeshi, inajihusisha na mbinu za kutia fitna, kugawa na kutawala.
-
Satelaiti tatu za Iran zarushwa katika anga za mbali, ni hatua madhubuti ya kiteknolojia
Dec 28, 2025 09:31Satelaiti tatu za Iran zilizoundwa ndani ya nchi , ‘Paya’, ‘Zafar 2’ na ‘Kowsar’, leo zimerushwa katika anga za mbali kwa kutumia roketi ya kubeba satelaiti aina ya Soyuz kutoka kituo cha anga cha Vostochny kilichoko nchini Russia.
-
Kwa nini utawala wa Kizayuni unaogopa uhuru wa vyombo vya habari?
Dec 27, 2025 23:16Bunge la utawala ghasibu wa Israel (Knesset) limelipa idhini baraza la mawaziri la utawala huo kufunga kanali za televisheni za kigeni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu kwa muda wa miaka miwili ijayo, hata katika wakati wa amani bila ya amri ya mahakama.
-
Ujumbe Kiongozi Muadhamu kwa Umoja wa Jumuiya za Wanafunzi wa Kiislamu barani Ulaya; kubebwa na Iran bendera ya kukabiliana na utaratibu usio wa kiadilifu
Dec 27, 2025 07:41Katika ujumbe wake kwa mkutano wa kila mwaka wa Umoja wa Jumuiya za Wanafunzi wa Kiislamu barani Ulaya, Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: "Taifa la Iran kwa kutumia uwezo wake linaweza kusimama na kutoa wito wa thamani za Kiislamu kwa walimwengu kwa sauti kubwa kuliko wakati mwingine wowote."
-
Sababu za kuongezeka chuki dhidi ya Uislamu barani Ulaya
Dec 26, 2025 22:53Ripoti mpya ya Shirika la Haki za Kimsingi la Umoja wa Ulaya (FRA) ya mwaka wa 2025 imefichua sura isiyo ya kawaida ya kuenea chuki dhidi ya Uislamu barani Ulaya.
-
Vita vilivyosambaratisha mustakabali wa watoto wa Ghaza
Dec 26, 2025 05:22Hali ya watoto wa Ukanda wa Ghaza ni ushahidi wa wazi wa janga la kibinadamu na mauaji ya kimbari ya kimfumo yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni kwa muda wa miaka miwili mfululizo mbali na majanga ya kimwili, kisaikolojia, kijamii na kiutamaduni ya wakazi wa ukanda huo. Jinai hizo za Israel zinaendelea hadi hivi sasa kwa sura tofauti.
-
Shukurani za Venezuela kwa Iran kwa msimamo wake thabiti wa kuitetea Caracas
Dec 25, 2025 23:18Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Venezuela ameisifu Iran kwa misimamo yake thabiti ya kutetea mamlaka ya kujitawala Caracas.
-
Mapigano ya Syria; matokeo ya migogoro ya ndani na uingiliaji kati wa Marekani na Wazayuni
Dec 25, 2025 09:53Kwa kuendelea kwa uingiliaji kati wa kigeni kushadidi mapigano nchini Syria baina ya makundi yanayomuunga mkono mtawala wa nchi hiyo al-Julani na kundi la Qasad, ukosefu wa usalama utulivu nchini humo umechuukua wigo mpana zaidi.
-
Kwa nini Marekani inashadidisha mazingira ya vita dhidi ya Venezuela?
Dec 24, 2025 23:06Marekani, kwa mara nyingine tena, imeimarisha uwepo wake kijeshi huko Caribbean.